KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,517
Hebu muogope Mungu bhana,ndio maana tunakosa hata sukari.Ile ahadi ya kubadil jinsia bado ipo. . . Hehehe
HahahaJoanah na wewe nawe kwa nini umembadilisha jina mpenzi wako?,ati baby ,.,.,.,.....hahahaaaaaaaa
Basi acha nikusaidie kumbatiza mamii,muite Rutobeast.Hahaha
Aku! Mchumba angu anaitwa vile vile ruttabushobomolama. . . Hatuna mpango wa kubadilisha ilo jina
Acha donge mtoto.WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Soseji(sausage )Mie naitwa MISOJI sasa sijui nikienda kule nijiiteje! msaada kwenye tuta please!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..aiseeeUnono Maganga anaitwa Uno McGuire.
Hahaha Sasa mwanangu mbona hao wote kama wachaga ivi???Hata hawa walibadili majina.
1.Mallya akawa Marley.
2.Minja akawa Minaj.
3.Lelo Yohana akawa Lil wayne.
4.Kadadaa akawa Kardashian.
5.Sikutee akawa Scott.
6.Mauki akawa Mark.
7.Sundi akawa Sandra.
8.Rutashobia akawa Ruth.
9.Sarakikya akawa Sarah
10.Kemilembe akawa Kimberly.
Wachaga, wameru, wahaya na wasukuma wamo.Hahaha Sasa mwanangu mbona hao wote kama wachaga ivi???
hahahahahahahahahahahahahahahaahahahaNa wewe unaitwa Chicky Barry au vipi? au nikuite Baby,?.,.,.hahahaaa.