Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Watanzania muache huu ushamba mnapofika majuu

Joanah na wewe nawe kwa nini umembadilisha jina mpenzi wako?,ati baby ,.,.,.,.....hahahaaaaaaaa
Hahaha
Aku! Mchumba angu anaitwa vile vile ruttabushobomolama. . . Hatuna mpango wa kubadilisha ilo jina
 
Hata hawa walibadili majina.

1.Mallya akawa Marley.

2.Minja akawa Minaj.

3.Lelo Yohana akawa Lil wayne.

4.Kadadaa akawa Kardashian.

5.Sikutee akawa Scott.

6.Mauki akawa Mark.

7.Sundi akawa Sandra.

8.Rutashobia akawa Ruth.

9.Sarakikya akawa Sarah

10.Kemilembe akawa Kimberly.
 
Hata Akiwa Huko Akiulizwa Tanzania Dar Es Salaam ulikuwa unaishi wapi hasemi Mikocheni anasema Michael Chain
 
Kuna Demu alikuwa anaitwa SANDARA ghafla akawa anajiita Sandra
 
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba maembe kule nyegezi, sasa kwa nini jina
lako la Huseni Baruti umeliacha unajiita eti Usain Bolt? Au
nikuongelee kikwenu ndo utanielewa?
Wihonginyoni be
Acha donge mtoto.
 
1475872395924.png

JAH BLESS
 
Hata hawa walibadili majina.

1.Mallya akawa Marley.

2.Minja akawa Minaj.

3.Lelo Yohana akawa Lil wayne.

4.Kadadaa akawa Kardashian.

5.Sikutee akawa Scott.

6.Mauki akawa Mark.

7.Sundi akawa Sandra.

8.Rutashobia akawa Ruth.

9.Sarakikya akawa Sarah

10.Kemilembe akawa Kimberly.
Hahaha Sasa mwanangu mbona hao wote kama wachaga ivi???
 
Back
Top Bottom