Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Koma kunihusisha na chama cha siasa wala mwanasiasa.Ndiyo kazi yake hiyo, kama ulikuwa haujui, hufanya hivyo Dunia nzima unaweza hata tu kutembelea website yake iko wazi kazi anazofanya na clients wake isitoshe Tundu Lisu mwenye alisema amemwagiza loya wake Muzungu Amsterdam aende Jumuiya ya Madola kushitaki pmj na washirika wetu wengine, sasa unachobishia ni kitu gani? Siyo kama nafanya propaganda ni tundu wenu mwenye alisema anachokifanya huyo kaburu, ...
Kipato changu kidogo ninachopata kinanitosha siwezi kujipendekeza kwa mwanaume mwenzangu.
Turudi kwenye hoja, umesema Amsterdam ameagizwa na TL kutushitaki Common wealth sasa huko Japan imekuaje ukizingatia Japan wamekua wakishirikiana na Tanzania kwa muda mrefu? Tuna Mfugale flyover, tuna miradi mingi ya Japan, tuna shule za JICA nyingi sana hapa kwetu.
Wangewezaje kutweet kitu kama hiki kwa ushauri wa nusu saa kutoka kwa Amsterdam ukizingatia kwamba wanaweza kuharibu uhusiano wao nasisi?
Jenga hoja kutokea hapo, kuna vitu havihitaji propaganda