Watanzania mumefika wa kusemwa hadi na Japan, kawaida Japan na China huwa hawahangaiki na mambo ya ndani ya watu

Watanzania mumefika wa kusemwa hadi na Japan, kawaida Japan na China huwa hawahangaiki na mambo ya ndani ya watu

Ndiyo kazi yake hiyo, kama ulikuwa haujui, hufanya hivyo Dunia nzima unaweza hata tu kutembelea website yake iko wazi kazi anazofanya na clients wake isitoshe Tundu Lisu mwenye alisema amemwagiza loya wake Muzungu Amsterdam aende Jumuiya ya Madola kushitaki pmj na washirika wetu wengine, sasa unachobishia ni kitu gani? Siyo kama nafanya propaganda ni tundu wenu mwenye alisema anachokifanya huyo kaburu, ...

Koma kunihusisha na chama cha siasa wala mwanasiasa.
Kipato changu kidogo ninachopata kinanitosha siwezi kujipendekeza kwa mwanaume mwenzangu.

Turudi kwenye hoja, umesema Amsterdam ameagizwa na TL kutushitaki Common wealth sasa huko Japan imekuaje ukizingatia Japan wamekua wakishirikiana na Tanzania kwa muda mrefu? Tuna Mfugale flyover, tuna miradi mingi ya Japan, tuna shule za JICA nyingi sana hapa kwetu.
Wangewezaje kutweet kitu kama hiki kwa ushauri wa nusu saa kutoka kwa Amsterdam ukizingatia kwamba wanaweza kuharibu uhusiano wao nasisi?
Jenga hoja kutokea hapo, kuna vitu havihitaji propaganda
 
Koma kunihusisha na chama cha siasa wala mwanasiasa.
Kipato changu kidogo ninachopata kinanitosha siwezi kujipendekeza kwa mwanaume mwenzangu.

Turudi kwenye hoja, umesema Amsterdam ameagiza na TL kutushitaki sasa huko Japan imekuaje ukizingatia Japan wamekua wakishirikiana na Tanzania kwa muda mrefu? Tuna Mfugale flyover, tuna miradi mingi ya Japan, tuna shule za JICA nyingi sana hapa kwetu.
Wangewezaje kutweet kitu kama hiki kwa ushauri wa nusu saa kutoka kwa Amsterdam ukizingatia kwamba wanaweza kuharibu uhusiano wao nasisi?
Jenga hoja kutokea hapo, kuna vitu havihitaji propaganda

Sikumbuki kama kuna mahali popote nilipokuhusisha na Siasa, hivyo sielewi unatoa wapi hizo shutuma kwangu, plus kwa nini unapaniki hivyo ?
 
Sikumbuki kama kuna mahali popote nilipokuhusisha na Siasa, hivyo sielewi unatoa wapi hizo shutuma kwangu, plus kwa nini unapaniki hivyo ?
"Uliposema tundulisu wenu" ulimaanisha nini?
rudi soma post yako upya.

Jikite kwenye hoja, hakuna aliyepanic hapa nilitaka ujue hapa hujibishani na mwana chadema wala mwana CCM. Mimi ni mtu huru nafatilia siasa lakini sitaki chama cha mtu wala sitaki kushabikia mtu
 
Nilimaanisha tundu wenu, kwani siyo wenu?
 
Haujui jinsi haya mambo yanavyokwenda, hivyo jikalie tu kimya, huyo loya Muzungu hata wewe kama unataka Ubalozi wa Japani utoe tamko khs ishu yoyote dhidi ya nchi yako umtafute mmlipe Mamilioni ya USD utasikia, tamko atalifanikisha, hiyo ndiyo kazi yake anafanya hivyo Dunia nzima, ...

Duh basi ndio maana mnaweweseka kwa huyo wakili, kama ana ushawishi wa kusababisha Japan watolee tamko linalokinzana kabisa na falsafa yao ya kutoingilia siasa za ndani za taifa lolote. Wale huacha mchinjane atakayeibuka mshindi ndiye wataendelea naye, ila kwa nyie naona uzalendo umewashinda, itakua mlifanya madudu ya kupitiliza.
 
Back
Top Bottom