Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

Dah 😂. What a heck is this...
Rais nae ajue vya kuzindua kwa kweli. Asikubali kwenda kila uzinduzi tu,
 
mbona kama unailazimisha furaha gentleman ila moyoni una majonzi?

bado meli nyingine4 zitakamilika na kuzinduliwa hivi karibuni.
kuna ule wimbo wa huseni machozi unaitwa 'Utaipenda' ukufariji gentleman, huo ni mwanzo tu wa safari ya uvuvi wa kisasa katika bahari kuu.
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Hivi wewe umelipwa shilingi ngapi na hayo maCCM? Unashupaza shingo kubisha wakati huelewi chochote, unatetea ujinga ambao unajua kabisa ni uongo lakini unaendelea tu kutetea. Hiyo meli haina quality....sasa unabisha nini?
Wahanga wa elimu mbalimbali hao. Not analytical and argumentative!
 
Bonge La Meli Yaani Duniani Hakuna Ni Tanzania ♥️ Tu
 
Mashua ya uvuvi. Hiyo siyo meli acheni kutupanga
 
Wahanga wa elimu mbalimbali hao. Not analytical and argumentative!
Kwa taarifa yako mimi siyo mhanga wa elimu mbalimbali, nina elimu ya kutosha kuliko familia yako yote. Asiye na elimu ya kutosha ni yule anayesema bei ya mafuta ni Dollar 6000 kwa lita moja. Hajui hata analolifanya, kama ndiyo unaona amefanya sawa basi ufikiri wako upo sehemu nyingine wala si kichwani fala wewe.
 
mbona kama unailazimisha furaha gentleman ila moyoni una majonzi?

bado meli nyingine4 zitakamilika na kuzinduliwa hivi karibuni.
kuna ule wimbo wa huseni machozi unaitwa 'Utaipenda' ukufariji gentleman, huo ni mwanzo tu wa safari ya uvuvi wa kisasa katika bahari kuu.

Ila jaman hata kama, ile ni meli ya kuzindua Rais?

Ile ni meli ya kukusanya watu since saa 12?

Hata kama watanzania tunamatatizo yetu ila hapana kwa kweli sometimes mambo mengine not fair

Hapo ukiuliza bei unaweza kukuta ni sawa na sea link mbili za mzee bakharesa
 
Gentleman,
serikali sikivu ya CCM inazindua kila ilichoahidi kwa wananchi na kukitekeleza, na kilichopo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2025-2030. bado meli4 za kisasa, soon nazo kipenzi cha waTanzania rais Dr.Samia Suluhu Hassan atazizindua pia.

hizo porojo zingine nonsense ziendelee kuutesa moyo wako tu gentleman, ila serikali sikivu ya ccm inachapa kazi za wananchi bila mbambamba yoyote ile
 
Aaaah hapana kaka sio kwa lile jahazi no way

Inchi ya uchumi wa juu kweli tuweke live broadcast kuzindua ile kitu jaman?

Hivi unajua posho za mkutano wa leo, mafuta ya magari, gharama za kukodi sound PA na kila kitu

Gharama za kurusha live kwenye TV

Ukijumlisha inazidi Gharama ya kile kilichozinduliwa leo

Hata kama mnatudanganya basi atleast muone na sisi ni binadamu na tuna uelewa hata kama ukiwa ni uelewa mdogo ila msitufanye hivyo tafadhari
 
ikiwa ni jahazi kwa maoni yako ni sawa tu kwasababu una uhuru wa kubeza au vinginevyo,
lakini haihamishi wala kupindisha ukweli kwamba kati ya meli 5 za uvuvi za kisasa ambazo serikali ya CCM iliahidi wananchi, moja wapo tayari imewasili na tayari itaanza kazi mara moja,

hivyo vingine ni maoni ya chini sana gentleman
 
Google meli, and uone kama inafanana na ile

Hatubezi ila mambo mengine jaman hapana

Rais hakupaswa kwenda kuzindua na mwenyewe kasema hata wasaidizi wake walimwambia

Zanzibar zile ziko kibao zinavua, Madagascar zipo kibao

Sidhani kama ni jambo kabisa la kujisifia kuwa mmefanya kwa ile kitu imezinduliwa leo
 
kulikoni nigoogle wakati meli halisi tunayo hivi sasa?
kwanini kujihangaisha na kujifedhehesha kwa vitu useless gentleman
 
Back
Top Bottom