Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

Mungu akuusaidie ufahamu ukurudie.
na akuzidishie neema uachane na habari ya kubebwa ufala wa kifika na kufuata mkumbo kama nyumbu na matokeo yake unaumizwa kilofa tu na kurejesha mzigo wa malezi kwa wazazi.

jitambue gentleman
 
Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣

Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua

White Elephant..

Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣
View attachment 3579229View attachment 3579230
View attachment 3579060
Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli kidogo hivi mambo yake makubwa🤣
View attachment 3579062
Hata Washauri wake hawakubali, isipokuwa Kiziga tu.. Washauri wakina Kayanza Pinda walimshauri kwamba si hadhi yako bado akagoma.. Akaamua kumsikiliza waziri alopewa 10% ya ujenzi🤣🤣

Habari zaidi...

Serikali ya Tanzania iliingia ubia kupitia Shirika la Maendeleo ya Uvuvi Tanzania (TAFICO) kujenga meli kadhaa za uvuvi wa bahari kuu.

Mradi mzima ulitajwa kugharimu takribani Dola milioni 50+ (zaidi ya Tsh bilioni 100) kwa meli kadhaa
View attachment 3579098

Luhaga Mpina wakati anaanza Mchakato huu, alitegemea meli ya mfano huu ambazo zilitakiwa ziwe 5 ndo zitengenezwa, Samia na Genge lake wakatuletea hiyo🤣


TUJIKUMBUSHE UJENZI WA HIZI MELI ULIVYOANZA

Waziri Mpina azindua menejimenti TAFICO

Mtanzania 25 Jul 2018

DODOMA; WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, amezindua Menejimenti ya kusimamia utaratibu wa kufufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO 2018), huku akitangaza kununuliwa kwa meli tano mpya za uvuvi zitakazofanya shughuli za uvuvi katika ukanda wa uchumi wa Bahari Kuu.

Waziri Mpina alisema hatua ya kulizindua shirika hilo ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 ibara ya 27(c) iliyoelekeza Serikali kufufua shirika hilo na kununua meli tano za uvuvi zenye uwezo wa kuvua samaki bahari kuu na kuzalisha ajira zaidi ya 15,000 kwa mwaka pamoja na maelekezo mbalimbali ya Rais Dk. John Magufuli.

Akizungumza mara baada ya kuzindua menejimenti ya shirika hilo jijini Dar es Salaam, Waziri Mpina alisema shirika hilo litaendeshwa kwa ubia kati ya Serikali na sekta binafsi huku akitoa wito kwa wawekezaji wengi zaidi kujitokeza kuwekeza kwenye sekta hiyo ya uvuvi.

Waziri Mpina alisema kwa muda mrefu uvuvi wa bahari kuu ulikuwa ukifanywa na meli za kigeni na kuchangia kidogo kwenye pato la taifa, ambapo wastani ya Sh bilioni 3.2 ndizo zilizokuwa zikikusanywa kama mapato yatokanayo na uvuvi wa bahari kuu kiasi ambacho ni kidogo ikilinganishwa na fursa kubwa iliyopo katika bahari kuu.

Hivyo, Waziri Mpina alisema kama eneo la uvuvi wa bahari kuu litasimamiwa vizuri na shughuli za uvuvi zikafanyika kwa ufanisi, Serikali itaweza kuingiza Sh bilioni 352 kwa mwaka ambapo kwa kutambua umuhimu huo, Serikali ya Awamu ya Tano imeamua kulifufua shirika hilo ili kuiwezesha sekta ya uvuvi kutoa mchango mkubwa katika pato la Taifa.
Utawala uliopo wa serikali ya CCM ni "replica" ya utawala wa mfalme Mangungo wa Msovero. Historia itamkumbuka daima, ameingia katika vitabu vya kumbukumbu na "experience" mbaya hapa nchini.
 
Ila jaman hata kama, ile ni meli ya kuzindua Rais?

Ile ni meli ya kukusanya watu since saa 12?

Hata kama watanzania tunamatatizo yetu ila hapana kwa kweli sometimes mambo mengine not fair

Hapo ukiuliza bei unaweza kukuta ni sawa na sea link mbili za mzee bakharesa

Mkuu, Ni kama sasaivi Hangaya anataka tu kuonekana on public, hata kama una kiwanda chako cha mbao ukimwita kuzindua anakuja.
 
Kwa taarifa yako mimi siyo mhanga wa elimu mbalimbali, nina elimu ya kutosha kuliko familia yako yote. Asiye na elimu ya kutosha ni yule anayesema bei ya mafuta ni Dollar 6000 kwa lita moja. Hajui hata analolifanya, kama ndiyo unaona amefanya sawa basi ufikiri wako upo sehemu nyingine wala si kichwani fala wewe.
Umeandika mengi bila kujua kwamba mimi nilikuwa nakazia jibu lako kwenye ile post.
Anyways, binafsi sina elimu yoyote zaidi yako wewe msomi
Screenshot_20260426-111932.png
 
Wadau wameenda kuzindua Dau la Taifa la Uvuvi
 
Back
Top Bottom