Watanzania Mumeona eti Meli ya Uvuvi Samia Suluhu aliyozindua? Ni Vichekesho 🤣🤣🤣

Mungu akuusaidie ufahamu ukurudie.
na akuzidishie neema uachane na habari ya kubebwa ufala wa kifika na kufuata mkumbo kama nyumbu na matokeo yake unaumizwa kilofa tu na kurejesha mzigo wa malezi kwa wazazi.

jitambue gentleman
 
Utawala uliopo wa serikali ya CCM ni "replica" ya utawala wa mfalme Mangungo wa Msovero. Historia itamkumbuka daima, ameingia katika vitabu vya kumbukumbu na "experience" mbaya hapa nchini.
 

Mkuu, Ni kama sasaivi Hangaya anataka tu kuonekana on public, hata kama una kiwanda chako cha mbao ukimwita kuzindua anakuja.
 
Umeandika mengi bila kujua kwamba mimi nilikuwa nakazia jibu lako kwenye ile post.
Anyways, binafsi sina elimu yoyote zaidi yako wewe msomi
 
Wadau wameenda kuzindua Dau la Taifa la Uvuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…