Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Kweli binti yangu?hiyo tarehe 29 hakuna wa kuandamana sababu sisi sio waoga ila wanafiki..!!
Taifa gani mkuu?Najivunia kuchanganya utaifa, Sina damu ya kinyumbu
THANK YOU Pyaar πNingesema watanzania wana roho mbaya ilhali nami ni mtanzania isingesound poaπ.
Mimi sina roho mbaya.
ππ, unafiki ni uchawi tosha.Na uchawi hatukosi ni vile tumekosa Isunga na ungo tupae πΉ
Nimekwambia usimuamini Mtz yoyote hata akisema yuko tayari kutoka, wewe ukitaka kuandamana ni bora ukalianzisha peke yako na ikiwezekana ujimwagie petrol ujipige moto kama yule jamaa wa TunisiaTuanze mimi na wewe leo tuandamane tuanzie barabara ipi?
Wananijua kitambo mbonaSasa si uwachane au unawaogopa? πΉ
HahahahahaMleta mada nimekuelewa vizuri sana,
Ukisoma comment za huu uzi utafikiri wachangiaji ni wazungu au watu wa mataifa mengine,kila mtu nae analaumu watz!
π π
Naye pia alikuwa mnafki, hao ndo watanzania na tabia zetu..!!Sifurahii yaliyomtokea pole pole lkn Pole pole aliyanyamazia haya wakati wake na alikua na nafasi ya kukemea haya.
Ni mwanaCCM.
Na hata alipopiga U turn hakutaja wahusika.
Mkuu? πPamoja mkuu.