Watanzania na unafiki huwezi kuwatenganisha

😹😹😹 umeona? Watanzania sisi jau sana..!!
 
Wewe Lucas mwashamba wa bei za jioni nitolee ujinga wako hapa..!!

Nyie machawa ndo kundi namba moja la wanafki bata wee 😹
We na nyumbu wenzako umoja mnaonyeshana kwenye mitandao ungekua ni umoja wa kweli mngetoka kuandama kwaajili ya Soka, Mdude au hata leo kwaajili ya Polepole ila kwakua ni nyumbu umekaa mbali unachungulia tu
 
Nimekwambia usimuamini Mtz yoyote hata akisema yuko tayari kutoka, wewe ukitaka kuandamana ni bora ukalianzisha peke yako na ikiwezekana ujimwagie petrol ujipige moto kama yule jamaa wa Tunisia
Ndio wewe si umesema huamini tutaandamana wewe ukiwa unashuhudia sio ukiwa unaandamana
 
Hiyo hali huwa inawasumbua hasa nyinyi wanawake sisi wanaume hatujaumbiwa roho za hivyo kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…