Kuchoma Sirari one stop border ambayo inatumiwa na umma wa watanzania na wakenya sio jambo la busara na mimi siliungi mkonoHakuna anayependa kuharibu mali; lakini kama kufanya hivyo ni moja ya njia ya kuangamiza shetani mwenyewe;
Kama unataka busara nenda kazungumze na Samia na Genge lake kwanza..Kuchoma Sirari one stop border ambayo inatumiwa na umma wa watanzania na wakenya sio jambo la busara na mimi siliungi mkono
Siungi mkono kuchoma jengo wewe nenda kachome sio kukaa nyuma ya keyboard mimi Imhotep siungi mkono kuchoma majengo.Kuchoma hilo jengo ni halali kabisa
Kimya kimya namaanisha bila polisi na uhamiaji kuzua mivutano iliyopelekea vurugu kama walivyofanyaKimya kimya how? Si lzm upite border?
OkayKimya kimya namaanisha bila polisi na uhamiaji kuzua mivutano iliyopelekea vurugu kama walivyofanya
Haiingii akilini kwa mtu kama wewe usiyejuwa akina Mafwele wanamfanyia nani hiyo kazi.Kuchoma ofisi za umma wakati unajua akina mafwele wako wapi haiingiii akilini
Kwani wewe unajiona kuwa na akili zaidi ya huo umma wa waTanzania. Akili inayoishia tumboni nayo unaichukulia kuwa ni akili?Kuchoma Sirari one stop border ambayo inatumiwa na umma wa watanzania na wakenya sio jambo la busara na mimi siliungi mkono
Kuna mtu yeyote aliye kuhimiza ukachome chochote?Siungi mkono kuchoma jengo wewe nenda kachome sio kukaa nyuma ya keyboard mimi Imhotep siungi mkono kuchoma majengo.
Hao ni watu wachache tu umma wa Watanzania ni milioni 60.Kwani wewe unajiona kuwa na akili zaidi ya huo umma wa waTanzania. Akili inayoishia tumboni nayo unaichukulia kuwa ni akili?
vipi waliitoa pasport na je heche alienda huko kisumu??Kupiga moto watakuwa wanaharibu waongeze pressure mpaka aachiwa aende Bondo.
Viongozi wanakuja na kuondoka lakini kuichoma nchi mimi sikuungi mkono siwezi kuichoma Tanzania kwasababu ati namchukia kiongozi fulani.Haiingii akilini kwa mtu kama wewe usiyejuwa akina Mafwele wanamfanyia nani hiyo kazi.
CHADEMA imesema Makamu mwenyekiti hajaenda Kenya yuko Tanzania.vipi waliitoa pasport na je heche alienda huko kisumu??
Umewauliza wote milioni 60 wakwambie wapo upande gani?Hao ni watu wachache tu umma wa Watanzania ni milioni 60.
Naona umeishiwa na hoja kwamba mtu akipishana mawazo na wewe unaanza kuleta ramli za ajabu ajabu, mimi ni mwanademokrasia naheshimu sana mawazo ya wenzagu lakini pia kupingana kwa hoja.Muda si muda utapewa kazi ya kuwateka na kuwaua waTanzania
Tulisha pitia huko kote enzi zile, na umerudi huko uko upya na sasa unataka tuanze upya tena.Naona umeishiwa na hoja kwamba mtu akipishana mawazo na wewe unaanza kuleta ramli za ajabu ajabu, mimi ni mwanademokrasia naheshimu sana mawazo ya wenzagu lakini pia kupingana kwa hoja.
We waxha kutusema na DIV IV zetKumruhusu ingekuwa kirahisi tu kuliko attention waliyotengeneza kwenye media za Kenya kwa sasa na mwisho huo mkusanyiko ndio unaweza kuleta madhara ambayo hawakutegemea hao watu wanazidi kuongezeka wakifanya mobilization wakachoma na kuvunja hicho kigeti watamlaumu nani?
Hii mijitu hakika division IV ilikuwa ni halali yao hata ingesoma elimu ya sekondari miaka 20.
We Wacha kutusema na DIV IV zetuš¤£Kumruhusu ingekuwa kirahisi tu kuliko attention waliyotengeneza kwenye media za Kenya kwa sasa na mwisho huo mkusanyiko ndio unaweza kuleta madhara ambayo hawakutegemea hao watu wanazidi kuongezeka wakifanya mobilization wakachoma na kuvunja hicho kigeti watamlaumu nani?
Hii mijitu hakika division IV ilikuwa ni halali yao hata ingesoma elimu ya sekondari miaka 20.
Kumruhusu ingekuwa kirahisi tu kuliko attention waliyotengeneza kwenye media za Kenya kwa sasa na mwisho huo mkusanyiko ndio unaweza kuleta madhara ambayo hawakutegemea hao watu wanazidi kuongezeka wakifanya mobilization wakachoma na kuvunja hicho kigeti watamlaumu nani?
Hii mijitu hakika division IV ilikuwa ni halali yao hata ingesoma elimu ya sekondari miaka 20.
Daah,Kumruhusu ingekuwa kirahisi tu kuliko attention waliyotengeneza kwenye media za Kenya kwa sasa na mwisho huo mkusanyiko ndio unaweza kuleta madhara ambayo hawakutegemea hao watu wanazidi kuongezeka wakifanya mobilization wakachoma na kuvunja hicho kigeti watamlaumu nani?
Hii mijitu hakika division IV ilikuwa ni halali yao hata ingesoma elimu ya sekondari miaka 20.
Ili kujenga lazima ubomoe, kama nyumba yako kama haijajengwa vyema lazima ubomoe kwanza ili ujenge upya.Kuna mtu yeyote aliye kuhimiza ukachome chochote?
Muda si muda utapewa kazi ya kuwateka na kuwaua waTanzania (kama bado); halafu utapotea kwa muda baada ya kumaliza kutenda uovu huo na kurudi hapa kuja kueleza watu huungi mkono kutafuta kila njia kujiondoa kwenye uovu huu.
Mfano wako ni wa kijinga sana Somalia walibomoa sasa hivi nivi miaka 35 ninyi sijui kama ni Watanzania asilia huwezi kuibomoa na kuichoma nchi.Ili kujenga lazima ubomoe, kama nyumba yako kama haijajengwa vyema lazima ubomoe kwanza ili ujenge upya.
imhotep unatuangusha sana kwa ujinga unaozungumza...
Unatuangusha sana, ni vyema ukae kimya.
Ahsante kwa kuniita mjinga...Mfano wako ni wa kijinga sana Somalia walibomoa sasa hivi nivi miaka 35 ninyi sijui kama ni Watanzania asilia huwezi kuibomoa na kuichoma nchi.
Sitounga mkono hio ujinga bomoeni muungano sio kuibomoa Tanganyika.