Nimesema mfano wako ni wakijinga sikusema wewe ni mjinga naomba radhi kama limekutweza.
Tuendeleze pressure za maandamano yasiokwisha maandamano ya AMANI ili wananchi watuunge mkono sio tunaitisha maandamano ya AMANI watu wachache tu ndio wanatoka siku hawa watu wkitokq kwa maelfu na maelfu watawala watakubali matakwa yetu.