Watanzania nani anaturoga? Kama hamtaki kila mtu ale urefu wa kamba yake, mnataka wale bila kamba?

Rais hatakiwi kuongea kwa methali na mafumbo kama muimba taarabu za mipasho.

Rais anatakiwa kusema maneno yaliyo bayana na wazi watu wote wamuelewe bila shaka wala kuhitaji mgogoro wa lugha wa jamii nzima kumuelewa.
Pamoja na yote hayo watanzania tumemuelewa alicho maanisha achana na machawa.
 
Tanzanians are not monolithic.

Hao unaowaita machawa si Watanzania?

Unajua kwamba Rwanda kabla ya watu kuuana wengine walianza kuwaita Wanyarwanda wenzao mende?

Unamuita mtu chawa, halafu unapata uhalali wa kumuua.

Si chawa tu, unamuua tu. Si mtu. Ni chawa tu.
 
Tanzanians are not monolithic.

Hao unaowaita machawa si Watanzania?

Unajua kwamba Rwanda kabla ya watu kuuana wengine walianza kuwaita Wanyarwanda wenzao mende?

Unamuitq mtu chawa, hqlqfu unapata uhalali wa kumuua.

Si chawa tu, unamuua tu. Si mtu. Ni chawa tu.
Nape Juzi kamwita Mtu kiroboto mkashangilia,na Nape nikiongozi mkubwa Serikalini
 
Unavyosema "mkashangilia" umeniweka kundi gani la hao walioshangilia?

Una hakika gani mimi nipo katika kundi hilo na nimeshangilia, na habari ya mimi kushangilia haitokani na uvivu wako wa kufikiri tu unaowalundika watu katika makundi yasiyo yao bila hata kuuliza ujiridhishe?
 
Wengi wamemuelewa vizuri tu raisi, lkn waliopindisha kuelewa huko, wamepindisha kwa sababu mbili. (1) kuna watu wameajiriwa humu na chama fulan kwa lengo la kupotosha umma. Hawa kazi yao kubwa ni kuja huku kuandika propaganda mbali mbali za kuichafua serikali na viongozi wa serikali hata kama serikali au viongozi hao wa serikali wanafanya mambo mazuri na yenye faida kwa taifa, wao watayageuza kuwa ni mabaya na hayana faida kwa taifa ili serikali na viongozi wake waonekane hawana maana mbele ya wanaowaongoza. (1) Hili kundi la pili ni bendera fata upepo. Kundi hili wao hawalipwi kitu, kwa sababu hawapo ktk system ya mikakati,na pia wengi hawajui kuwa wenzao hulipwa. Kwahiyo kundi hili hutumiwa tu kama daraja humu mitandaoni kwa faida ya watu au kundi fulani bila wao kujijua.
Nimegundua akili zako zimefungwa zisielewe hata kama ndio mahaba yazidi kipimo kwenye mambo ya hela.
 
Umeshatufanya wote tuliopo humu ni kama wana fesibuku wenzako..

Mama alichomaanisha unajitahidi kukipindisha lakini ukweli unabaki palepale,, na hayo ndio mawazo ya Mama kuhusu utafunwaji wa hela za watanzania.
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,
Leta ile clip acha kuzuga watu hapa wwe araa! "wasivimbewe"
 
Ni kwamba km Mbuzi ana Kamba ndefu atakula parefu (mawaziri na watumishi) na km Mbuzi ana kamba fupi atakula hapo hapo pafupi (wananchi) ndio maana kuna watu kawaongezea urefu wa Kamba mfano Ridhone JK
 
Wengi wamemuelewa vizuri tu raisi, lkn waliopindisha kuelewa huko, wamepindisha kwa sababu mbili. (1) kuna watu wameajiriwa humu na chama fulan kwa lengo la kupotosha umma. Hawa kazi yao kubwa ni kuja huku kuandika propaganda mbali mbali za kuichafua serikali na viongozi wa serikali hata kama serikali au viongozi hao wa serikali wanafanya mambo mazuri na yenye faida kwa taifa, wao watayageuza kuwa ni mabaya na hayana faida kwa taifa ili serikali na viongozi wake waonekane hawana maana mbele ya wanaowaongoza. (1) Hili kundi la pili ni bendera fata upepo. Kundi hili wao hawalipwi kitu, kwa sababu hawapo ktk system ya mikakati,na pia wengi hawajui kuwa wenzao hulipwa. Kwahiyo kundi hili hutumiwa tu kama daraja humu mitandaoni kwa faida ya watu au kundi fulani bila wao kujijua.
Mbona kama wewe ndio unatumika na chama cha kijani kisafisha matapishi yao
Amka usingizini.

Rais ametoa kibali kwa watumishi kula rushwa full stop.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,

Tumia akili ya kawaida. Hili halihitaji shahada ya chuo kikuu kulielewa!

Hivi, kwa akili yako, mbuzi aliyefungwa kamba anahitaji maelekezo mengine ya ziada kwamba ale kwa urefu wa kamba yake? Ukiona mfugaji anatoa maelekezo kama hayo kwa mbuzi wake, ujue hao mbuzi hawajafungwa kamba yoyote!
 
Unavyosema "mkashangilia" umeniweka kundi gani la hao walioshangilia?

Una hakika gani mimi nipo katika kundi hilo na nimeshangilia, na habari ya mimi kushangilia haitokani na uvivu wako wa kufikiri tu unaowalundika watu katika makundi yasiyo yao bila hata kuuliza ujiridhishe?
Nyinyi si niwatu Mama tu 'machawa'
 
Mbona kama wewe ndio unatumika na chama cha kijani kisafisha matapishi yao
Amka usingizini.

Rais ametoa kibali kwa watumishi kula rushwa full stop.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Bila shaka ww upo ktk kundi la pili, yani unatumiwa na wajanja bila ww kujijua. Nakuonea huruma sana kwa kuruhusu genge fulani likushikie akili yako humu mitandaoni.
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,
Let's a call a spade a spade,kule Rwanda ukisema "cocroaches"lazima utaleta taaruki,ni neno la kawaida kwenye jamii nyingine,likimaanisha mdudu Mende,lakini Nchini Rwanda,linaleta kumbukumbu mbaya sana ya mauaji ya kimbali,maana Hilo neno lilitumika kubsgua watusi,na wahutu wenye msimamo wa kati.
Ni Sawa na neno madoa doa,kule Kenya,lilitumika kubsgua watu kwa makabila yao.
Kula kwa urefu wa kamba,kwenye jamii ya Tanzania,ni uwezo ulio nao na kwa madaraka uliyo nayo kuweza kuyatumia kupata mapato haramu.
Rushwa na ufisadi anaofanya waziri sio Sawa na atakaoufanya mkurugenzi,au ofisa wa Kijiji.
POliSI anaomba Rushwa ya 5000,mkuu wa kituo ataomba 200000,lakini kama una kesi ya ubakaji,ukienda kwa IGP,au hakimu au mwendesha mashitaka,atadai Rushwa ya hata ya milioni 10.
HAkImU wA KijiJiNI ATataka rUSHWa ya 50000,maAAna kAMBa HAIMRuUSu KUOMBA ZAiDI,haWAFIkII WAtU WEnYE PEsa NDeFU,HiyO Ndio maana HarISI YA UReFu WA kamba
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,
Amekutuma kumtafsiria kauli zake?. Au ndio uchawa na ukupe wenyewe huo.
 
" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

Mkuu umesahau neno muhimu aliloliongeza Rais nalo ni "kula usivimbewe", ---- Swali ni hili inakuaje mtu ale kulingana na urefu wa "KAMBA" hadi avimbewe??!!, maana yake kulingana na tafsiri yako ni kwamba hizo kamba za hao MBUZI-watu ni ndefu sana na wanaweza kula hadi wakavimbewa hivyo Rais Samia anawaambia Wale tu lakini kuvimbewa ndio kosa kwa sababu nafasi ya kuvimbewa ipo kukingana na urefu wa kamba walizofungwa, sasa hapa kosa sio la mbuzi bali ni la mfunga kamba, kinachotakiwa kufanyika ni kufupisha urefu wa kamba (control) na sio kumlaumu Mbuzi kama ikivimbewa.

Mbuzi ni mbuzi tu unawezaje kumzuia asivimbewe wakati urefu wa kamba yake unamruhusu avimbewe??!!🤣🤣
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,

Wa Tanzania wanafiki Sana wakiongozwa Na Ccm! Mnaangalia Wapi pana kula ndo mnakaa huo upande!

Hapa kiongozi wa Ma chief kachemka; maana anapenda kuongea bila kutafakari impact! Haya kachukue Buku 7.
 
Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita,

Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, " Lazima kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake "

Kauli hii imetafsiriwa na wengi hasa wasiofahamu maana za methali za kiswahili kuwa ni sawa na Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu Mawaziri kutafuna pesa ya Umma,

Nini maana halisi ya methali hii " Kila Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake "

Kwanza,
maana yake kinadharia ni kwamba Mbuzi akifungwa kamba hawezi kula zaidi ya urefu wa ile kamba mpaka kamba ikatike,

Pili, Maana ya kimantiki ni kwamba kila kitu/mtu hufanya kile kilichopo kwenye uwezo wake au ruhusa yake au Mamlaka yake tu,

RAIS SAMIA ALIMAANISHA NINI?

Rais Samia Suluhu Hassan alipotoa kauli hii alilenga kuwafunda Mawaziri na Manaibu Mawaziri wasichote pesa ya Umma hata senti moja,

Ila waridhike na wachukue kile tu wanachostahili kama Posho za Safari na marupurupu mengine yaliyoanishwa kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi wa Umma kwa nchi yetu,

Sikia, Kila mtu kula kwa urefu wa kamba yake sio kauli inayoruhusu " Wizi au Ufisadi " ila ni kauli inayolenga kuwarudisha watu|Viongozi kuwa na hofu ya Mungu na kutambua dhamana walizonazo ipo siku watajibu walizitumiaje kwa Mungu,

Dunia hii kila mtu ni mwizi ndio sababu pakawepo na controls|Utaratibu au kwa lugha rahisi kama aliyoitumia Rais Samia Suluhu yaani " Kamba "

" Kula tu unachostahili, kula chako tu "

#Sasa kama kuna Waziri hafahamu kiswahili fasihi aguse pesa ya Umma ndio ataelewa Rais Samia Suluhu Hassan alimaanisha nini,

Wewe una leta maneno mengi wakati mwenzio Samia aliweka maneno machache na yako wazi na kila mtu alimuelewa ...yani ukiwa na kamaba ndefu wee ifunge ikifika popote we kula tuu ikiwezekana una nunua nyingine ili mradi uwe na kamba!

Unajidai unafafanua utafikiri wewe ndiye uliyesema haahahah
IMG_0589.jpg
 
Back
Top Bottom