Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Jan 19, 2022 #41 Na wanaojifanya kuipinga kauli hiyo ndio wezi, majambazi na washenzi wakubwa mahali pao pa kupatia ugali
Na wanaojifanya kuipinga kauli hiyo ndio wezi, majambazi na washenzi wakubwa mahali pao pa kupatia ugali
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 19, 2022 #42 mtumishiwaleo said: Nyinyi si niwatu Mama tu 'machawa' Click to expand... Nimekuuliza unapoandika nyinyi unamaanisha kina nani? Ulichoandika kinadhihirisha una utapiamlo wa akili.
mtumishiwaleo said: Nyinyi si niwatu Mama tu 'machawa' Click to expand... Nimekuuliza unapoandika nyinyi unamaanisha kina nani? Ulichoandika kinadhihirisha una utapiamlo wa akili.
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Jan 19, 2022 #43 AGGGOT TZ said: Watamwelewa Mama, ngoja tuone atakayegusa pesa ya Umma Click to expand... www hufuatilii mambo kuna 2m usd zinaliwa kama consultation fees na mama alikiri kulifaha hilo jiulize wamechukuliww hatua gani Sent using Jamii Forums mobile app
AGGGOT TZ said: Watamwelewa Mama, ngoja tuone atakayegusa pesa ya Umma Click to expand... www hufuatilii mambo kuna 2m usd zinaliwa kama consultation fees na mama alikiri kulifaha hilo jiulize wamechukuliww hatua gani Sent using Jamii Forums mobile app
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 Jan 19, 2022 #44 mtumishiwaleo said: Nape Juzi kamwita Mtu kiroboto mkashangilia,na Nape nikiongozi mkubwa Serikalini Click to expand... Mama naye kamchagua tena pamoja na ukosefi wa nidham .lazima kuna shinda mahali kwa huyu mama Sent using Jamii Forums mobile app
mtumishiwaleo said: Nape Juzi kamwita Mtu kiroboto mkashangilia,na Nape nikiongozi mkubwa Serikalini Click to expand... Mama naye kamchagua tena pamoja na ukosefi wa nidham .lazima kuna shinda mahali kwa huyu mama Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wa Matajiri JF-Expert Member Joined Sep 14, 2018 Posts 1,522 Reaction score 643 Jan 20, 2022 #45 zithromax said: Mama naye kamchagua tena pamoja na ukosefi wa nidham .lazima kuna shinda mahali kwa huyu mama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nape alikuwa na ugomvi binafsi na Magufuli, So ulitaka Mama aridhi ugomvi wa watu?
zithromax said: Mama naye kamchagua tena pamoja na ukosefi wa nidham .lazima kuna shinda mahali kwa huyu mama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nape alikuwa na ugomvi binafsi na Magufuli, So ulitaka Mama aridhi ugomvi wa watu?