- Thread starter
- #41
Akikujibu nitagWao mtu akishinda anaondoka na kwenda kujitegemea ww unataka madam rita awasimamie kivp kuwatungia au kuwatengenezea beat.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu nitagWao mtu akishinda anaondoka na kwenda kujitegemea ww unataka madam rita awasimamie kivp kuwatungia au kuwatengenezea beat.
Ungesoma main point ya mada yangu usingeandika gazeti lote Hilo.
Kala Jeremiah pekee, tena kwa juhudi zakeNiambie ni msanii gani alietolewa na bss mpaka sasa yuko kwenye pick ama amewahi kukaa kwenye pick hata kwa mwaka mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duhlike leaders like people
Kayumba ana talent haimaanishi kwamba bila bss usingemjua ..cha msingi Rita arudishe hela ya mshindi wa bssWatanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo.
Pamoja na BSS kutuumiwa kula hela ya washiriki lakini pia tusisahau bss wanamchango mkubwa Sana kwa Hawa washiriki wasio na shukrani hata kidogo hiv leo hii bila bss Nani angemfahamu kayumba au hamisi,Nimeangalia interview ya hamisi imenisikitisha Sana ametumia lugha chafu kuisema BSS.
Washiriki wengi walikuwa wanafanyiwa audition wakiwa hata kupaka make up walikuwa hawajui na wengine walikuja ikiwemo hamisi na mavazi ya ajabu ajabu wakafundishwa kuvaa wakawa wanatrainiwa vocal pamoja na kuimba na bendi ili watu hawaoni na washiriki wenyewe hawaoni zaidi ya kutoa lugha chafu.
walikuwa pia wanakaa kwenye hotel za nyota 5 Kama kambi na Zina gharama kubwa Sana kweli tunashindwa hata kuliona hili kweli?
Hao washiriki wanaoisema vibaya BSS mbona hatuoni juhudi zao katika mziki? Kazi yao Ni kutupia zigo lote kwa BSS bila hata wao wenyewe kujiangalia.kuna wasanii wengi hawajapata hata bahati ya kupata platform kubwa ya kuonekana ya BSS lakini wametoboa kwenye mziki wao wameshindwa vipi kutoboa?
NB: Ni kweli BSS wanakula hela lakini hiyo haimaanishi tusione uzuri wao waliofanya kwenye hii tansia ya mziki.
Mimi bro Master J nimekupata kwa nguvu ya tano aisee...Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo.
Pamoja na BSS kutuumiwa kula hela ya washiriki lakini pia tusisahau bss wanamchango mkubwa Sana kwa Hawa washiriki wasio na shukrani hata kidogo hiv leo hii bila bss Nani angemfahamu kayumba au hamisi,Nimeangalia interview ya hamisi imenisikitisha Sana ametumia lugha chafu kuisema BSS.
Washiriki wengi walikuwa wanafanyiwa audition wakiwa hata kupaka make up walikuwa hawajui na wengine walikuja ikiwemo hamisi na mavazi ya ajabu ajabu wakafundishwa kuvaa wakawa wanatrainiwa vocal pamoja na kuimba na bendi ili watu hawaoni na washiriki wenyewe hawaoni zaidi ya kutoa lugha chafu.
walikuwa pia wanakaa kwenye hotel za nyota 5 Kama kambi na Zina gharama kubwa Sana kweli tunashindwa hata kuliona hili kweli?
Hao washiriki wanaoisema vibaya BSS mbona hatuoni juhudi zao katika mziki? Kazi yao Ni kutupia zigo lote kwa BSS bila hata wao wenyewe kujiangalia.kuna wasanii wengi hawajapata hata bahati ya kupata platform kubwa ya kuonekana ya BSS lakini wametoboa kwenye mziki wao wameshindwa vipi kutoboa?
NB: Ni kweli BSS wanakula hela lakini hiyo haimaanishi tusione uzuri wao waliofanya kwenye hii tansia ya mziki.
Unasema Wafanyakazi wa TRA waendelee kuiba hela za Watanzania kwa kuwa wanafanya kazi kubwa ya kukusanya kodi..Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo.
Pamoja na BSS kutuumiwa kula hela ya washiriki lakini pia tusisahau bss wanamchango mkubwa Sana kwa Hawa washiriki wasio na shukrani hata kidogo hiv leo hii bila bss Nani angemfahamu kayumba au hamisi,Nimeangalia interview ya hamisi imenisikitisha Sana ametumia lugha chafu kuisema BSS.
Washiriki wengi walikuwa wanafanyiwa audition wakiwa hata kupaka make up walikuwa hawajui na wengine walikuja ikiwemo hamisi na mavazi ya ajabu ajabu wakafundishwa kuvaa wakawa wanatrainiwa vocal pamoja na kuimba na bendi ili watu hawaoni na washiriki wenyewe hawaoni zaidi ya kutoa lugha chafu.
walikuwa pia wanakaa kwenye hotel za nyota 5 Kama kambi na Zina gharama kubwa Sana kweli tunashindwa hata kuliona hili kweli?
Hao washiriki wanaoisema vibaya BSS mbona hatuoni juhudi zao katika mziki? Kazi yao Ni kutupia zigo lote kwa BSS bila hata wao wenyewe kujiangalia.kuna wasanii wengi hawajapata hata bahati ya kupata platform kubwa ya kuonekana ya BSS lakini wametoboa kwenye mziki wao wameshindwa vipi kutoboa?
NB: Ni kweli BSS wanakula hela lakini hiyo haimaanishi tusione uzuri wao waliofanya kwenye hii tansia ya mziki.
Yuko nyumbani kwake[emoji38][emoji38][emoji38]Peak ya matumbozzz
Alikuwep kwenye Peak kakaa tena alikua ana imba Mpak na kina kidumu wa Burundi
If am not mistaken, Sahivi kaoa sijui yuk wap
Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo.
Pamoja na BSS kutuumiwa kula hela ya washiriki lakini pia tusisahau bss wanamchango mkubwa Sana kwa Hawa washiriki wasio na shukrani hata kidogo hiv leo hii bila bss Nani angemfahamu kayumba au hamisi,Nimeangalia interview ya hamisi imenisikitisha Sana ametumia lugha chafu kuisema BSS.
Washiriki wengi walikuwa wanafanyiwa audition wakiwa hata kupaka make up walikuwa hawajui na wengine walikuja ikiwemo hamisi na mavazi ya ajabu ajabu wakafundishwa kuvaa wakawa wanatrainiwa vocal pamoja na kuimba na bendi ili watu hawaoni na washiriki wenyewe hawaoni zaidi ya kutoa lugha chafu.
walikuwa pia wanakaa kwenye hotel za nyota 5 Kama kambi na Zina gharama kubwa Sana kweli tunashindwa hata kuliona hili kweli?
Hao washiriki wanaoisema vibaya BSS mbona hatuoni juhudi zao katika mziki? Kazi yao Ni kutupia zigo lote kwa BSS bila hata wao wenyewe kujiangalia.kuna wasanii wengi hawajapata hata bahati ya kupata platform kubwa ya kuonekana ya BSS lakini wametoboa kwenye mziki wao wameshindwa vipi kutoboa?
NB: Ni kweli BSS wanakula hela lakini hiyo haimaanishi tusione uzuri wao waliofanya kwenye hii tansia ya mziki.
Asante sana kwa ujumbe makini kabisa, na hapa ndipo wanapoyumba wakati kiuhalisia mdhamini alitoa hadi zawadi ya mshindi ili akabidhiwe chake ila sasa Madam kasepa nayo...kama sio utapeli ni nini? mshindi apewe chake full stop.BSS ina wadhamini ambao wanacover cost zote za mashindano, inatoa zawadi kwa mshindi na inawalipa kina madam Ritha na majudge wenzie kwahiyo hoja ya kuwa wamefaidika kukaa hotelini na vitu kama hivyo haina mashiko. Yote hayo ni sehemu ya mashindano. Kama mashindano yasingekuwa na zawadi basi wafadhili wasingetoa fungu la zawadi.
Wasanii wanapopata platform, madam Ritha anapata content. Bila wasanii kusingekuwa na content, thus kusingekuwa na wadhamini(pesa). Alichokosea madam Ritha ni kula hata kile ambacho hakikuwa chake. Kwa ufupi ni kwamba anadhulumu washiriki na kujiongezea kwenye bakuli yake and it's not fair.
Ghalama wanayotumia kuirejesha no ngumu. Hivyo mambo ya lawama yapungue.Watanzania wengi wanatatizo lakuwa wanafiki na wasio na shukrani hata kidogo, nimeona wengi wakiiponda BSS na wengine kwenda mbali zaidi kuitukana na kutoa lugha chafu juu yao Cha ajabu mpaka washiriki wenyewe walioshiriki bss nao wameingia kwenye Huu mkumbo.
Pamoja na BSS kutuumiwa kula hela ya washiriki lakini pia tusisahau bss wanamchango mkubwa Sana kwa Hawa washiriki wasio na shukrani hata kidogo hiv leo hii bila bss Nani angemfahamu kayumba au hamisi,Nimeangalia interview ya hamisi imenisikitisha Sana ametumia lugha chafu kuisema BSS.
Washiriki wengi walikuwa wanafanyiwa audition wakiwa hata kupaka make up walikuwa hawajui na wengine walikuja ikiwemo hamisi na mavazi ya ajabu ajabu wakafundishwa kuvaa wakawa wanatrainiwa vocal pamoja na kuimba na bendi ili watu hawaoni na washiriki wenyewe hawaoni zaidi ya kutoa lugha chafu.
walikuwa pia wanakaa kwenye hotel za nyota 5 Kama kambi na Zina gharama kubwa Sana kweli tunashindwa hata kuliona hili kweli?
Hao washiriki wanaoisema vibaya BSS mbona hatuoni juhudi zao katika mziki? Kazi yao Ni kutupia zigo lote kwa BSS bila hata wao wenyewe kujiangalia.kuna wasanii wengi hawajapata hata bahati ya kupata platform kubwa ya kuonekana ya BSS lakini wametoboa kwenye mziki wao wameshindwa vipi kutoboa?
NB: Ni kweli BSS wanakula hela lakini hiyo haimaanishi tusione uzuri wao waliofanya kwenye hii tansia ya mziki.
Acha kupoteza muda wako bure kulielewesha tahira mkuuMkuu, kwenye thread yako hata haueleweki unacholalamikia ni kipi, unasema eti walikuwa wanakaa kwenye hotel ya nyota tano kwa hiyo nini? Hiyo ni sehemu ya mchakato. Ni sawa mtu aje aseme kuwa 'wewe unasema elimu haijakusaidia wakati umeenda kusoma UDOM, chuo chenye majengo bora', je huo ubora wa majengo una manufaa gani ya moja kwa moja katika matumizi ya elimu yangu?. Hiyo ilikuwa ni sehemu ya mchakato na ilikuwa ni lazima wafanue hivyo. Na hao hawakuwa wanakaa hapo bure kwa sababu kuna kitu walnatoa in exchage ambacho ni vipaji vyao, wewe mbona hukwrnda huko kwenye hizo hotel? Ni kwa sababu huna kitu cha kutoa ili ukae kwenye hizo hotel. Kinachoangaliwa ni kuwa lile ni shindano na lengo la shindano linaeleweka., apatikane mshindi na mambo yaende kadiri ya makubaliano.
BSS sio kubwa kiasi cha mtu ukipita pale utapata jina mafanikio kirahisi. Kupata jina na kutangazwa kuwa umeshinda 50m ilhali umepewa sofa ni mzigo mkubwa kwa washiriki na kufanya wasemwe vibaya kuwa wametumia pesa kwa anasa kumbe waliambulia kumbatio tu.
BSS waache janjajanja, walipe pesa.
Sio kwamba kwa ajili ya promoshen tu na hiyo promoshen ionekane mzee,hv promotion ya 30m kweli jaman,daah madam utapeli umemuumbua.Wamlipe pesa yake 20m lkn hiyo 30m kulingana na mkataba wa shindano ni kwa ajili ya promotion. Haiwezekana kwa namna yoyote ile igeuke kuwa mali ya mshindi. Vigezo na masharti ya kuingia kwenye mashindano lazima vizingatiwe.