Watanzania ni wanafiki Vs Diamond Platinumz

Kuna mwingine kamuanzishia mada humu kwanini alienda na mabaunsa msibani yaani mwenye hila hata ukiogelea kwenye atakuambia unamtimulia vumbi
 
Yaani umeongea vizuri sana. Tafadhali sambaza kwenye social media zooote!
 
Kuna siku iliombwa nyimbo ya KATIKA Clouds FM nikashangaa ikapigwa nyimbo nyingine kabisaa nikapata uhakika Kweli kuna bifu kubwa sana
 
Yaani umeongea vizuri sana. Tafadhali sambaza kwenye social media zooote!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi lowassa wakati anakuja chadema na kupewa chance ya kugombea nafasi ya Urais alikuwa kijana? 😁😁 embu acheni mtu afanye anachokitaka bhana mkiongea maneno sijui ya uzee mnaonekana mmeumia kuondoka kwake maana alikuja Chadema akiwa mzee hivi hivo angefukuzwa basi kwa uzee wake
 
Diamond ni mti wenye matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…