Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1/4 MkuuHii nchi watu wengi hawana akili
Pole mkuu yaelekea jamaa kakukera SI kea ukali huoasingefika msibani kuna ushuzi ungeandika hapa nyang'au we..... amefika bado unlaialia...... shenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu kama umepaniki hivi "hta ukiwa huwezi mfufua marehemu" [emoji16][emoji16]Kila mtu na ratiba zake, hata kama ukiwahi hutamfufua cha msingi ni uwakilishi wako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania ni kweli hawana dogo.Shida yetu kubwa tumefanya social media ndo maisha. Kila kitu lazima kipitie social media
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umeongea vizuri sana. Tafadhali sambaza kwenye social media zooote!Salaam Wakuu.
Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio yeye,kwaio kashindwa kaona arudi kwa wazee wenzie kwenye maisha simple.
Wakati tukiendelea na maombolezo ya ndugu yetu boss ruge,kuna mengi yametukia na ya kushangaza Sana,
1.Clouds media wameonesha nguvu yao katika promo na kufikia kuonesha kuwa msiba huu ni wa kitaifa,na kulazimisha kila mtu aonekane kaguswa,msiba uko very over rated.
2.Tumeona wasanii na watu wengi wakijifanya kuguswa na kifo cha marehemu na kuposti kwenye social medias lakini hadi sasa hawajagusa msibani kwa Ruge,wengine wapo dar hapohapo,Why?
3.Lakini tumeona wasanii,wanasiasa,wadau na hata wananchi wa kawaida wakimnyooshea Sana vidole diamond platnumz Pekee,kwamba kwanini hajaposti neno R.I.P ruge tangu first day, wakati wengine wamefanya hivyo,na wamesahau kuwa msiba haujaisha.why diamond na sio wengine mfano jide?
4.watanzania ni wanafiki Sana,wakati Cloud's media kupitia ruge wakifungia nyimbo za diamond na Kuanzisha vita na wasafi walikuwa wapi kuzima bifu lile na kumshauri ruge na media ile,kuacha ile tabia ya Kuanzisha bifu na diamond?
5.Endapo nguvu hii ya kumuita diamond msibani ingetumika kuwakemea Cloud's fm zidi ya chuki zao,inawezekana Leo diamond angekuwa kisha posti R.I.P, au watanzania hawa hawa walikuwa hawajui hayo? Au ni kwamba clouds wanahaki sana kufanya wanachojisikia na kuachwa na si diamond na wasafi kiujumla?
6.wadau wajifunze kukemea uovu na vita Kama Hivi,maana nguvu hii iliyotumika ingetosha kuwaogopesha Cloud's na wangepatana na diamond,lakini walikaa kimya utazani hawapo au diamond alikuwa hana haki ni clouds tu wanapaswa kuabudiwa na wote? Au ruge R.I.P na Cloud's wanaogopwa kusemwa Au social media hazikuwepo?.Na kuna baadhi ya wasanii walifurahia ban ile kwa wasafi wakijua jamaa atapotezwa wabaki wao,maana anawatesa kawaacha mbali.
Watanzania ni vema wakakaa kimya juu ya hili maana walishindwa kuwapatanisha marehemu akiwa hai,diamond aachwe afanye kadri atakavyoguswa.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
😂😂😂 hivi lowassa wakati anakuja chadema na kupewa chance ya kugombea nafasi ya Urais alikuwa kijana? 😁😁 embu acheni mtu afanye anachokitaka bhana mkiongea maneno sijui ya uzee mnaonekana mmeumia kuondoka kwake maana alikuja Chadema akiwa mzee hivi hivo angefukuzwa basi kwa uzee wakeYaani umeongea vizuri sana. Tafadhali sambaza kwenye social media zooote!
Diamond ni mti wenye matunda.Salaam Wakuu.
Tukiachana na ishu ya lowassa kurudi ccm,maana si mwanaharakati na ameshindwa mikikimikiki ya kule,maana kazeeka tayari kule kuna hitaji damu ya moto inayotembea kwa speed Sana sio yeye,kwaio kashindwa kaona arudi kwa wazee wenzie kwenye maisha simple.
Wakati tukiendelea na maombolezo ya ndugu yetu boss ruge,kuna mengi yametukia na ya kushangaza Sana,
1.Clouds media wameonesha nguvu yao katika promo na kufikia kuonesha kuwa msiba huu ni wa kitaifa,na kulazimisha kila mtu aonekane kaguswa,msiba uko very over rated.
2.Tumeona wasanii na watu wengi wakijifanya kuguswa na kifo cha marehemu na kuposti kwenye social medias lakini hadi sasa hawajagusa msibani kwa Ruge,wengine wapo dar hapohapo,Why?
3.Lakini tumeona wasanii,wanasiasa,wadau na hata wananchi wa kawaida wakimnyooshea Sana vidole diamond platnumz Pekee,kwamba kwanini hajaposti neno R.I.P ruge tangu first day, wakati wengine wamefanya hivyo,na wamesahau kuwa msiba haujaisha.why diamond na sio wengine mfano jide?
4.watanzania ni wanafiki Sana,wakati Cloud's media kupitia ruge wakifungia nyimbo za diamond na Kuanzisha vita na wasafi walikuwa wapi kuzima bifu lile na kumshauri ruge na media ile,kuacha ile tabia ya Kuanzisha bifu na diamond?
5.Endapo nguvu hii ya kumuita diamond msibani ingetumika kuwakemea Cloud's fm zidi ya chuki zao,inawezekana Leo diamond angekuwa kisha posti R.I.P, au watanzania hawa hawa walikuwa hawajui hayo? Au ni kwamba clouds wanahaki sana kufanya wanachojisikia na kuachwa na si diamond na wasafi kiujumla?
6.wadau wajifunze kukemea uovu na vita Kama Hivi,maana nguvu hii iliyotumika ingetosha kuwaogopesha Cloud's na wangepatana na diamond,lakini walikaa kimya utazani hawapo au diamond alikuwa hana haki ni clouds tu wanapaswa kuabudiwa na wote? Au ruge R.I.P na Cloud's wanaogopwa kusemwa Au social media hazikuwepo?.Na kuna baadhi ya wasanii walifurahia ban ile kwa wasafi wakijua jamaa atapotezwa wabaki wao,maana anawatesa kawaacha mbali.
Watanzania ni vema wakakaa kimya juu ya hili maana walishindwa kuwapatanisha marehemu akiwa hai,diamond aachwe afanye kadri atakavyoguswa.
The Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Kwani wakifa wanaenda mbinguni? [emoji35]kwani uyo diamond asipo post RIP ndio kwamba uyo ruge hata enda mbinguni kwan diamond ni mungu acheni mada za diamond kila time maana huyo diamond hana tofaut na binadamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app