Inafikirisha !Umesema vyema hapa.! Hatutaki makosa ya bandari yaje kujirudia kama yalivyo ya Katiba, kwa sasa tupambane na bandari yetu hata kama ni swala dogo kwa mtazamo wenu.! Tukikaa kimya litakapita likija kuibuka huko mbele kauli kama hizi zitakuja kutoka tena.!
Lakini msisahau kama hata huyo shetani anahitaji mtetezi😂Ni fedhea mtu kama paschal Mayala mwenye familia kuwa mtetezi wa kazi za SHETANI IBILISI
Amegeukia Kuwa hivyo,na sio tena Mzee wa kwa maslahi ya taifa 🤔Itoshe kusema huyu Paskali ni mnafiki na CHAWA
Ameandika akiwa wapi? Tuanzie hapo Kwanza.Bandari ni jambo dogo?
Kama ungelisoma bandiko lake lote kwa makini, ungegundua kuwa nae ni miongoni mwa wapaza sauti dhidi ya Bandari. Hofu yake kuu ni kuitwa tena kwenye Kamati ya Maadili.Mimi Sijasoma andiko, mmeishia kwenye Kichwa Cha Habari.
Itoshe tu kusema , Mh Pascal , Kwa Sasa wee ni Pro Chawa unayetumia Kalamu yako kuwatia watanzania kwenye Reli .
Bandari ni suala Dogo?. Suala Dogo ambalo ndio Linaloilisha Bajeti ya Nchi.
Hapana, hata Kama Mama amekurejeshea kile ulichokipoteza Kwa miaka Ile ya Hayati, uchawa umezidi, sio Bora ukae kimya?.
Ati unagusia Uhuru wa watu, Kwa sababumliwaaminisha watanzania kua JPM anabana uhuru wa watu ,Sasa Mama kaurejesha uhuru wa watu??? Kwamba watu wako huru kuongea ? ... WATANZANIA SIO WAJINGA, UHURU ULIKUWEPO.
Kuhusu Katiba Mpya, hili la Bandari pia Wataalam wa sheria , waweka wazi kua Lina chembechembe za Katiba, kwakua tumelipazia sauti , tutaendelea kulipazia sauti .
WATANZANIA TUENDELEE KUPAZA SAUTI ,TAASISI MBALIMBALI, VIONGOZI W DINI, ENDELEENI KUPAZA SAUTI, BANDARI IMEUZWA, TANZANIA IMEUZWA !!.
Mim namuignore wakuu staki kuona post zake tenaUmechelewa kumpuuuza
Bandari ni jambo dogo?
Punguza mihemko tumia akili mkuu, katiba iliyopo rais hashitakiwi na matokeo ya urais yakishatangazwa na tume aliyoiteua yeye mwenyewe hayapingwi mahakamani. Hebu amka usingizini kutoka kwenye hiyo ndoto ya bandari utoke nje.Kenya Wana katiba nzuri, bado ufisadi na wizi umetamalaki...bandari ni jambo dogo? Unaumwa!
La bandari lizungumzwe lakini lisitutoe kwenye jambo kubwa zaidi la katiba mpya, Hiyo ndiyo hoja yangu mkuu.Kuna mwanafalsafa mmoja anaitwa Yesu,katika kuishi kwake hapa duniani,aliwahi kusisitiza umuhimu wa kutilia maanani mambo madogo,kabla ya makubwa.
Hv huyu ni nani alisema hivi!?Ila unajua kwamba hii aibu ni kubwa sana? Unagawaje nchi bure tena bila kikomo? Huyu hapaswi kuwa madarakani muda huu
View attachment 2668006