Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #61
Mkuu bado hujamaliza
Ngoja ninywe chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bado hujamaliza
Hahahahaha..kumbe mnajijua kama ni wajinga ? Safi sana..mjinga akijijua kuwq yeye ni mjingaKasome ule uzi wa "17 March" wa yoga ndio utagundua watanzania wengi ni wajinga. Yaani wanachambua kifo cha JPM utadhani walikuwepo akipewa sumu.
Huwa tunasemaga watanzania ni moja ya wajinga waliopo dunianiTunapenda sana uzushi uzushi na umbea yani utakuta mtu msomi tena wakiume ila bingwa wa umbea umbea, kina mange na kigogo lazima watoboe nchi hii hata shigongo si alipiyia humo humo hadi akatoboa, kuna watu wanapenda kusikia habari za watu wengine kuliko maisha yao.
Hutaki watu watoe maoni yao?
Kama unadhani ni Watanzania tu, hebu kafuatilie maoni ya Wamarekani kuhusu kuuawa kwa JFK.
Watu kama ninyi ndio nuksi kwa maendeleo ya taifa.
Unajua zile mbinu za kuchora grafu kwa kuunganisha nukta? Ndicho tunafanya hapa.
Kama kuna mpotoshaji, wewe ndiye namba moja duniani.
Hakuna mtu amesema kwamba kila kinachosemwa ni ukweli; na ndiyo sababu kuna hoja na ukinzani wake.
Naweza kusema pasi na shaka kwamba sasa maadui wa taifa ni ujinga, maradhi, umaskini, pamoja na wewe hapo.
Ndio Conspiracies zenyewe hizo.
Ndio Conspiracies zenyewe hizo.
Hawawezi kusoma mambo ya Chai.
sio sahihi kuwabeza waTanzania kiasi hicho, that is very wrong.
Ni mawazo na mtazamo wa jumla uliojaa dhihaka kubwa mno kwa waTanzania. Ni kutaka kulazimisha na kuhujumu haki na uhuru wa waTanzania, kufikiri, kuchagua na kuamua kulingana na mahitaji yao🐒
Umoja, Amani, Utulivu, Utangamano na maelewano miongoni mwa waTanzania, si kwasabb ya kuunganishwa na kiswahili tu, bali uerevu na ustahimilivu wao mkubwa na uliokomaa dhidi ya dhihaka na dharau za wanaojidai wasomi 🐒
waTanzania wanafuatilia habari zote kwa umakini na mizania sawa ili kujua, kufahamu na kuelewa mustakabali wa Taifa lao pendwa Tanzania na ndio maana Radio Tanzania -TbcTaifa zinafanya vizuri nchi nzima kuliko chombo cha habari unachokijua wew mathalani vile vinavyoishia hapo magomeni 🐒
kwa engo hiyo ya sio wote ni sawa sawia 🐒Tunazungumzia wingi na sio wote.
Huo muda wa kufanya mizania wanaofanya hivyo ni wachache sana. Tena sana.
Kuna Watu wengi hapa Tanzania wanatambulika kwa taarifa za uzushi ilhali hawakufanya, kama watanzania wangekuwa ni Watu wa mizania kama ulivyosema basi uzushi na udaku usingeuza.
kwa engo hiyo ya sio wote ni sawa sawia 🐒
kwa maana hiyo waTanzania wengi ni waerevu mno kwenye sanduku la kura 🐒Hata Mungu akisema hakuna mwanadamu mkamiligu haimaanishi hakuna wakamiligu. Ndio maana kuna akina Ayoub.
Ila wingi ndio huangaliwa