Watanzania ni Watu wanaopenda habari za Uzushi, Conspiracy theories na udaku

Watanzania ni Watu wanaopenda habari za Uzushi, Conspiracy theories na udaku

There you go na uchambuzi wako uchwara ambao auna logic yoyote ya science ya unachopinga zaidi ya mawazo yako tu (now that is shallow). Hata huyo Mange ana afadhali maana anatoa receipt za umbea wake kabla ya kukupa perpective anayotaka yeye.

Sasa wewe una ata maelezo ya psychology ya emotions and its triggers hadi binadamu kuhuzunika na kutoa chozi, utaweza kweli kusoma body language.

Mwisho wa yote zaidi ya 90% ya michango kwenye mada ya ‘chozi’ ilikuwa mambo mengine ya taratibu za kikatiba na hilo ndio lilikuwa kusudio la mada siku ya jana aongelewe Magufuli, sio chawa waigeuze siku ya hayati; sherehe yao ya miaka mitatu ya ‘bi-tozo’ and it worked thanks to the interview.
 
Watanzania na mahasimu wake wakubali tu.

Kwamba Tanzania Katiba na sheria zinafanya kazi, kwamba hizi "Institutions" zinafanya kazi.

Wazushi wanadai 'Utashi' wa mtu ndio uliotumika, wakati imesemwa kwamba "Walifuata taratibu walizo kuwa nazo" Hiyo ni ushahidi tosha "Institutions" zinafanya kazi chini ya Katiba, sheria, kanuni, na taratibu/protokali zilizopo.

Wanasiasa bana.
 
Tunapenda sana uzushi uzushi na umbea yani utakuta mtu msomi tena wakiume ila bingwa wa umbea umbea, kina mange na kigogo lazima watoboe nchi hii hata shigongo si alipiyia humo humo hadi akatoboa, kuna watu wanapenda kusikia habari za watu wengine kuliko maisha yao.
Huwa tunasemaga watanzania ni moja ya wajinga waliopo duniani
 
Hutaki watu watoe maoni yao?

Kama unadhani ni Watanzania tu, hebu kafuatilie maoni ya Wamarekani kuhusu kuuawa kwa JFK.

Watu kama ninyi ndio nuksi kwa maendeleo ya taifa.

Unajua zile mbinu za kuchora grafu kwa kuunganisha nukta? Ndicho tunafanya hapa.

Kama kuna mpotoshaji, wewe ndiye namba moja duniani.

Hakuna mtu amesema kwamba kila kinachosemwa ni ukweli; na ndiyo sababu kuna hoja na ukinzani wake.

Naweza kusema pasi na shaka kwamba sasa maadui wa taifa ni ujinga, maradhi, umaskini, pamoja na wewe hapo.

Kwa hiyo katika kusoma kwako ukaona nimezuia Watu kutoa maoni yao?
Basi Sawa.
 
sio sahihi kuwabeza waTanzania kiasi hicho, that is very wrong.

Ni mawazo na mtazamo wa jumla uliojaa dhihaka kubwa mno kwa waTanzania. Ni kutaka kulazimisha na kuhujumu haki na uhuru wa waTanzania, kufikiri, kuchagua na kuamua kulingana na mahitaji yao🐒

Umoja, Amani, Utulivu, Utangamano na maelewano miongoni mwa waTanzania, si kwasabb ya kuunganishwa na kiswahili tu, bali uerevu na ustahimilivu wao mkubwa na uliokomaa dhidi ya dhihaka na dharau za wanaojidai wasomi 🐒

waTanzania wanafuatilia habari zote kwa umakini na mizania sawa ili kujua, kufahamu na kuelewa mustakabali wa Taifa lao pendwa Tanzania na ndio maana Radio Tanzania -TbcTaifa zinafanya vizuri nchi nzima kuliko chombo cha habari unachokijua wew mathalani vile vinavyoishia hapo magomeni 🐒
 
Tunazungumzia wingi na sio wote.

Huo muda wa kufanya mizania wanaofanya hivyo ni wachache sana. Tena sana.

Kuna Watu wengi hapa Tanzania wanatambulika kwa taarifa za uzushi ilhali hawakufanya, kama watanzania wangekuwa ni Watu wa mizania kama ulivyosema basi uzushi na udaku usingeuza.
 
kwa engo hiyo ya sio wote ni sawa sawia 🐒
 
Hata Mungu akisema hakuna mwanadamu mkamiligu haimaanishi hakuna wakamiligu. Ndio maana kuna akina Ayoub.
Ila wingi ndio huangaliwa
kwa maana hiyo waTanzania wengi ni waerevu mno kwenye sanduku la kura 🐒

wale wachache wa kususa na kuzira wenye hulka za akina Thomaso, huja kubaini na kuamini kua uchaguzi ulikua huru na wa haki baada ya uchaguzi kwisha 🐒
 
Back
Top Bottom