GE2025 Watanzania Oktoba 29 tutokeni kwa wingi lakini sio kutiki

GE2025 Watanzania Oktoba 29 tutokeni kwa wingi lakini sio kutiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Ule muda wa ukombozi nadhzani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa Tanzania kama hii huu ndo ule muda wa kuwakabia kwa juu nb.

Kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
 
mangekimambi80-20250919-0014.jpg

mangekimambi80-20250919-0012.jpg


mangekimambi80-20250919-0011.jpg


mangekimambi80-20250919-0010.jpg


mangekimambi80-20250919-0009.jpg
 
WaTZ wataaandamana wakipata triggering factor ambayo itawatouch wote kwa pamoja iwe SIEIEMU au upinzani...Kwa divide hii bado sana kuandamana maana machawa ni wengi hadi kwenye vyombo vya $.
 
Maandamano bado sana nchi hii, kuna ujinga na umasikini mwingi sana, mtu kwenda kuandamana wakati hana uhakika wa kula milo mitatu kwa siku ni shughuli pevu. Hiyo shughuli yenyewe ya kupiga kura tu mwaka huu watajitokeza wachache, tena wanachama wenye maslahi na vyama vyao, raia wengine wataenda kwenye shughuli zao bila kujali kupiga kura
 
Ule muda wa ukombozi nazani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa tz kama hii huu ndo ulemuda wa kuwakabia kwa juu nb.kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
Strategy ya kwanza kua na watu wako wa karibu wasiopungua wa 5 ambao mnaaminiana na hao watu wawe nawatu wao wa karibu wasiopungua wa 5 na the chain goes on..

Hapo itawezekana..
Maandamano ktk nchi za kiafrica za kidikteta lazima kue na strategy!
 
WaTZ wataaandamana wakipata triggering factor ambayo itawatouch wote kwa pamoja iwe SIEIEMU au upinzani...Kwa divide hii bado sana kuandamana maana machawa ni wengi hadi kwenye vyombo vya $.
Kwhaiyo hio triggering factor bado kwako haujaiona?
 
Usiogope kuinua sauti yako kwa uaminifu na ukweli na huruma(rehema) dhidi ya dhuluma na uongo na uchoyo.Ikiwa watu ulimwenguni kote... wangefanya hivi, wangeibadilisha dunia.


Wajibu wa vijana ni kupinga ufisadi.

Mtu anawajibu wa kimaadili wa kutotii sheria zisizo za haki.
 
Ukitaka kujua wataandamana kweli au hawaandamani mtafute mbowe umuulize, yeye ndo anawajua vizuri watz maana walishawahi kumponza zaidi ya mara 3
 
M
Ukitaka kujua wataandamana kweli au hawaandamani mtafute mbowe umuulize, yeye ndo anawajua vizuri watz maana walishawahi kumponza zaidi ya mara 3
Mbowe huyu huyu mlamba asali?
 
Kamwe usiogope kuinua sauti yako kwa uaminifu na ukweli na huruma(rehema) dhidi ya dhuluma na uongo na uchoyo.Ikiwa watu ulimwenguni kote... wangefanya hivi, wangeibadilisha dunia.


Wajibu wa vijana ni kupinga ufisadi.

Mtu anawajibu wa kimaadili wa kutotii sheria zisizo za haki.
Hakika tena nnagazabu na hawapolisisiem olewake ajichangane ntaondoka na wakwangu
 
Back
Top Bottom