GE2025 Watanzania Oktoba 29 tutokeni kwa wingi lakini sio kutiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwhaiyo hio triggering factor bado kwako haujaiona?

AMbayo itaunganisha watu wote pamoja ,kwasasa kuna divide and rule ,machawa kibao hadi kwenye vyombo vya $ ,huku NRNE huku wanatiki ,huku wanalinda kura ,huku wanabwia ubwabwa ,wengine watalalia vitanda vya futi tatu yaani taflani taflani ,hakuna umoja.

Ili tuandamane inatakiwa The Multitude ambao wananchi tuongee lugha moja....Ila tunaelekea pazuri ni swala la muda ,tujipe muda ,si umeona kina pole pole ,kina gwajima ? Ndivyo watawala wanavyochochea kufikia hiyo siku.
 
Ngo
Maandamano bado sana nchi hii, kuna ujinga na umasikini mwingi sana, mtu kwenda kuandamana wakati hana uhakika wa kula milo mitatu kwa siku ni shughuli pevu. Hiyo shughuli yenyewe ya kupiga kura tu mwaka huu watajitokeza wachache, tena wanachama wenye maslahi na vyama vyao, raia wengine wataenda kwenye shughuli zao bila kujali kupiga kur

AMbayo itaunganisha watu wote pamoja ,kwasasa kuna divide and rule ,machawa kibao hadi kwenye vyombo vya $ ,huku NRNE huku wanatiki ,huku wanalinda kura ,huku wanabwia ubwabwa ,wengine watalalia vitanda vya futi tatu yaani taflani taflani ,hakuna umoja.

Ili tuandamane inatakiwa The Multitude ambao wananchi tuongee lugha moja....Ila tunaelekea pazuri ni swala la muda ,tujipe muda ,si umeona kina pole pole ,kina gwajima ? Ndivyo watawala wanavyochochea kufikia hiyo siku.
Bora tufanye ishindikane kuliko kungoja wakati ambao hatujui ni lini tutakuwa wamoja naimani hao wachache itakuwa sababu ya wengine kujitokeza
 
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu....Tukiwa wachache hata Watoto wa wambura wanapata PAWA ya kupiga raia vipigo vya mbwa koko.
 
In short watz kuandamana bado sana

Kama ile 2015 tulishindwa kuitoa ccm sifikirii Kama tutaweza kwakuwa Mungu alikuwa ametuletea ukombozi na universe ilikuwa imeshakubali
 
Back
Top Bottom