Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Victoire leo kajidhalilisha sana, mara ooh anatumia nokia mara ooh aliletewa simu mara ooh bora akamatwe mara oooh mange ni mtu mbaya sana maraa ooh mi mwenyewe shabiki yake, haya dada wawatu kafanya live video. dua zako zimefeli. una roho mbaya sikutegemea
 
wachache wamekuelewa..ila we jamaa hatari sana. kifupi Mange is no longer again. ameshahakiwa..na anayeendesha akaunti yake siyo yeye.
 
Mwacheni Victoire
Jamani...huyu Mdada namkubali sana sana huyu Victoire she my best friend victoire mambo?nimekutumia sms hujaiona?
all the best usisahau kunijibu...
 
Nitakuwa sijautendea uzalendo wangu kwa taifa just kwa kuchanga tena kwa mtu tapeli na mtu anatumika kuichafuwa Tz. Mange anapaswa fikishwa mahakamani a prove aliosema kwa raos wetu mpenda. Inshort Mange ni muhalifu wakimataifa
 
Noted mate.Much love to you.
 
mi ningekuwa namtumia buku kila mwezi
 
Namkubali sana huyu dada I would fundraise for her
 
Inabid akubali kwanza kwmb ananjaa ili tumchangie mana kaona followers milion insta akaona ndo chaka la kupiga pesa kaanzisha app mara paaap ikabuma
Apambane na hali yake mambo yakimshinda ajiote kwny harakati zake awapikie watoto zake uji
 
Mi mwenyewe namfeel huyu Dada, alaf juz jpl kapanda ndege kurud America huku akiwaacha vipolisi uchwara vikiwa havijui hata km alikuwa bongo....alaf tunajisifu eti tuna intelejinsia....pumbav
 
wachache wamekuelewa..ila we jamaa hatari sana. kifupi Mange is no longer again. ameshahakiwa..na anayeendesha akaunti yake siyo yeye.

Shukran na tupo pamoja Mkuu kwani wanaonielewa humu JF ni wachache sana kama Wewe vile ambao hata IQ zenu ni za hali ya juu na nzuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…