donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Anapambana na serikali kwenye mitandao??🙁 Aje kwenye ardhi ya Tz apambane ndio nitamuona mzalendo hasa.
yeye mwenyewe anaweza kumobilize watuNahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.
Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.
Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.
Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.
Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.
Nawasilisha.
yaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni
[emoji23] [emoji23] sijaona mkuuKwani hujaona kwenye 'Fonti pondi'
Kwa ufahamu wako wewe....ni haki yako kuwaza hivyo maana ndivyoulivyokaririshwa....ni vzr mkaendelea kumdisi HV maana ndo mnamzidishia kuwa juu zaidi...Nitakuwa sijautendea uzalendo wangu kwa taifa just kwa kuchanga tena kwa mtu tapeli na mtu anatumika kuichafuwa Tz. Mange anapaswa fikishwa mahakamani a prove aliosema kwa raos wetu mpenda. Inshort Mange ni muhalifu wakimataifa
Poleni sana wana makinikia na ujanja wake mange ui-hack acc wiki nzima hata Mimi hauwezi nenda acc yake ya Insta anavyozidi kuwapa dozi team bombadier....wachache wamekuelewa..ila we jamaa hatari sana. kifupi Mange is no longer again. ameshahakiwa..na anayeendesha akaunti yake siyo yeye.
Kwani ameomba kusaidiwa?
Akaunti namba please..Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.
Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.
Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.
Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.
Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.
Nawasilisha.
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.
Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.
Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.
Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.
Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.
Nawasilisha.
Kwa kweli Dada huyu hata mm amenivumbua mambo mengi sana juu ya serikali hii yaliyokuwa nyuma ya pazia wanayaficha na ktk hali ya kawaida ni ngumu kuyajua...[emoji120] [emoji120]
Wewe mchaga acha roho mbayaaElfu 50 serious?? Labda wapare wenzake wamsaidie
Saint Ivuga njoo mchangien dada yen huku
sometimes dont take things this serious aiseeyaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni