Watanzania popote tulipo tujichangishe ili tumpe Tuzo ya Ujasiri Mange Kimambi

Anapambana na serikali kwenye mitandao??🙁 Aje kwenye ardhi ya Tz apambane ndio nitamuona mzalendo hasa.

Kuna Members humu JF wana ' akili ' kubwa na nzuri hadi raha hakyanani. Mkuu heko na nimekukubali sana kwa hii post yako ' Kuntu ' kabisa. Mbwa mkali na shujaa kweli ni yule anayebweka ' Kihasira ' akiwa ndani penye ' adui ' yake na siyo ' Kubwekea ' nyumba ya tatu / ya mbali kwani hiyo ni dalili tosha ya ' Uwoga ' uliotukuka kabisa.

Huwa nafurahi mno kukutana na Members ( Watu ) wenye IQ nzuri humu JF kama zako Mkuu. Uko vizuri na pokea ' Kongole / Pongezi ' zangu kwa hilo ' dini ' la uhakika kabisa ulilolitoa hapo juu.
 
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.

Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.

Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.

Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.

Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.

Nawasilisha.
yeye mwenyewe anaweza kumobilize watu

Kama unabisha Muulize Alikiba na Pesa for Lissu

Huhitaji kujihusisha na huyu dada ingawa anatoa exclusive ila ana Red Card
 
yaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni

Pambana na hali yako tuu wewe pita kimya kimya maana wapo watakaochanga na wapo watakao kaa kimya
 
Ni pale watakapogundua waliokuwa wanampa data wanatoka serikalini! unafiki unalipa aisee!
 
Nitakuwa sijautendea uzalendo wangu kwa taifa just kwa kuchanga tena kwa mtu tapeli na mtu anatumika kuichafuwa Tz. Mange anapaswa fikishwa mahakamani a prove aliosema kwa raos wetu mpenda. Inshort Mange ni muhalifu wakimataifa
Kwa ufahamu wako wewe....ni haki yako kuwaza hivyo maana ndivyoulivyokaririshwa....ni vzr mkaendelea kumdisi HV maana ndo mnamzidishia kuwa juu zaidi...
 
wachache wamekuelewa..ila we jamaa hatari sana. kifupi Mange is no longer again. ameshahakiwa..na anayeendesha akaunti yake siyo yeye.
Poleni sana wana makinikia na ujanja wake mange ui-hack acc wiki nzima hata Mimi hauwezi nenda acc yake ya Insta anavyozidi kuwapa dozi team bombadier....
 
mkuu siku hizi umeanza kuimba wimbo wa ukawa? maana 2015 mlikua haja onja joto ya jiwe. mtanyooka tu. ikifika 2020 kila mtu atakua timam.
 
sijajua kwanini watu wengine hupenda kushangilia mtu anayetumia matusi kusema jambo.....anatoa matusi ya nguoni bado nyie watu wazima na akili zenu mnakenua meno?
 
Siku zote nilikuwa siijui akaunti ya Mange Kimambi humu JF.
 
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda hadi nahisi Kuchanganyikiwa aitwae Mange Kimambi anayeishi huko Majuu / Mamtoni / Marekani.

Kwakweli anafanya Kazi kubwa sana ya Kupambana na Serikali ili kuweza kutukomboa Sisi Watanzania kutokana na Rasilimali zetu kuibiwa na Wajanja wachache lakini pia anasaidia mno kutupa Sisi taarifa Nyeti ambazo tulikuwa hatuzijui kuhusiana na kinachoendelea Tanzania hasa Serikalini.

Napendekeza kila Mtanzania achangie Shilingi Elfu 50 ( 50,000/ Tsh ) ili angalau hata ikipatikana Bilioni 1 au 3 hivi tuweze kumuuliza Mange Kimambi anataka Zawadi gani hasa kutoka Kwa Sisi Watanzania tunaompenda ila hasa hasa Mimi GENTAMYCINE ninayempenda kuliko kitu kingine chochote kile ili aweze kuendelea kutunyofolea ' Siri ' za Serikalini kama kawaida yake.

Kuna Watu wabaya leo ( siyo GENTAMYCINE ) wamemzushia vibaya kuwa sijui kuna ' tatizo ' limemkumba naomba sana washindwe na walegee popote walipo kwani hao hawana nia nzuri kabisa na Mange Kimambi wetu. Walaaniwe vibaya sana wale wote ambao walishabikia na kupayukia kuwa ' Akaunti ' ya Mange Kimambi imefungwa kwani hao ndiyo maadui wakubwa wa Tanzania yetu hii.

Mange Kimambi apewe Tuzo / Zawadi jamani.

Nawasilisha.
Akaunti namba please..
 
IMG_20171017_104006.jpg
IMG_20171017_104006.jpg
 
Kwa kweli Dada huyu hata mm amenivumbua mambo mengi sana juu ya serikali hii yaliyokuwa nyuma ya pazia wanayaficha na ktk hali ya kawaida ni ngumu kuyajua...[emoji120] [emoji120]
IMG_20171017_104006.jpg

manaharakati alimchangishia lisu maelfu ya dollars leo lissu kaamka na kaanza mazoez aibu kuu kwa wale wasiojulikana
 
yaani mimi hata ya kula ni kizungumkuti leo nichangie tena mtu diaspora tena alienda kwa miguu yake isitoshe si mgonjwa!!!!!....watu wa thread kama hizi utakuta mama yake kijijini ni mgonjwa hata hela ya panadol hana lkn yupo radhi ampotezee yeye bora mange apate bilioni
sometimes dont take things this serious aisee
 
Back
Top Bottom