Tulikwishakuwa omba omba wa dunia. Ikafikia hata kuomba na kupewa ikawa ni sifa ya mgombea urais. Kwamba eti awe anajulikana duniani. Baadaye marais wetu wakabweteka. Ukawa mtindo kusafiri. Kama kawaida ikawa kama ngoma, wapo waliozidisha.
JK yeye aliishi hewani kuliko hata rubani. JPM akafunga breki. Akaitwa mshamba. Akachochewa asafiri, yeye akagoma, akafanya makubwa kuliko waliosafiri sana. Maisha yakawa mafupi -RIP. Sasa akaingia mwingine.
Huyu akaaminisha umma kufungua nchi atapata misaada. Kuleta misaada ikawa ni kazi rasmi ya rais wa TZ. Mawazo yakawa mchanganyiko. akapingwa yeye akaendelea na akachochewa kama forward wa ligi kuu. Akacheza na taarabu, kamera zikimfuatilia akiwa na mashoga zake nayeye kama vijembe vya taarabu, akanengua tu!
Sasa tuulizane safari za kuleta misaada bado ni dili? Hiyo ndo kazi ya rais? Mashabiki wa utawala, bado muna ushahidi wa faida za safari hizo? Sasa tuna uhakika wa kutopewa misaada na US je, bado tunaona haya kukemea Ushoga na badala yake kusema maadili! Maadili! maadili!