- Thread starter
- #121
Hizi hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DANTuS2NZOR/?igsh=bjN0M2M0dzI2aWQ=
Lakini kubwa kuliko ni hili hapa 👇 👇
View: https://www.instagram.com/p/DFhajv-N47p/?igsh=dDV4YjEzM2lxMWV6
Unawezaje kuoneshwa faida na wizara ya serikali wakati hakuna hata wizara moja inayokosoa maamuzi ya rais. Yaani na wewe unaona chanzo cha taarifa za uzembe wa rais ni wizara ya serikali yake!