baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Actual ukiweka Average ni more reasonable approach, mfano wakati wa Kikwete from 2005 to 2010 alishusha Gdp to debt ratio hadi chini ya asilimia 30, then from 2010 to 2015 Deni likazidi, so kuweka bias nikichukua data za 2005 itakua Kikwete Hana mpinzani Since kupata Uhuru.Sasa kuliko kutaka wote twende na hizi assumptive calculations ni heri ungelinganisha miaka yao minne minne ya kila mmoja, kwa hicho hicho kigezo chako cha National debt to Gdp ration, ambapo Samia ataibuka kuwa na matokeo ratio mbaya kuliko wote.
Na Sijakataa Samia Hakopi, Soma hoja yangu toka tunaanza, my point Both Samia na Magufuli wamekopa sana, kumsema mmoja na kumfanya mwengine kama saint ni unafiki,