Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Hiyo open government inahusiana vipi na BOT monthly economic review?Data za Bot za zamani of course ni credible tulikua na mikataba na wafadhili hizo data kuwa published kwa uwazi, something open Government nimesahau jina Lake ila Magu akajitoa kupika data.
Tumia data zako Za local, mkulima alilipwa kiasi gani alipouza korosho yake? Millard Ayo na wengineo zimejaa kibao, msimu uliopita kuna waliolipwa zaidi ya 4000 kwa kilo,
Ukiangalia wakati wa Kikwete bei ilikua humo humo
Biashara ya korosho
Habari wale wadau wa korosho,ambao wapo mkoani mtwara kwa kipindi hiki tukutane hapa kwa ajiri ya kupeana update na kusaidiana kutatua changamoto tunazo kutananazo Karibuni.www.jamiiforums.com
MAGU alicrash korosho, inajulikana nchi hii, ni ubishi usio na maana hata kubishana.
Nitumie data za local zipi? Kutoka kwenye page zipi? Uniambie wewe sasa, je hizo utaziamini? Kwa nini hizo uziamini?
Magu alicrash korosho ilikuaje uzalishaji ukapanda?Data za zamani za BOT unasema unaziamini, hizo data zinaonyesha korosho ilishuka sana mwaka 2007 kufikia ev ya $28b, je Jk alicrash korosho? Naomba kujua