Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Tumeshawasoma kuwa mmempitisha Tundu Lissu agombee ili mpate huruma toka kwa wananchi kwa tukio baya ambalo lilimpata baada ya kushambuliwa na genge la magaidi wanaotumiwa na CHADEMA na hii ni kwa mujibu wa Godwin Mollel Naibu Waziri Wa Afya.
Tuachane na hayo ya kushambuliwa,tujikite kwenye uchaguzi huu ambao utafanyika octoba mwaka huu.
Hivi kwa namna ambavyo Tundu Lissu anavyodharaulika kwa watanzania kwa kutokuwa mzalendo na mtu wa kujipendekeza kwa mbeberu mnategemea apigiwe kura za huruma? Kisa alishambuliwa!
Nani mwenye akili timamu aache kumchagua Rais mzalendo ambae amefanya matokeo chanya ya kimaendeleo kwa sekta muhimu kama afya, elimu na kuimarisha miundo mbinu.
Leo hii mnampambanisha na na kibaraka wa mabeberu kisa mnategemea kura za huruma kwa wananchi!