Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Hata iwe ni kwa namna yoyote ile, TAML hawezi kupita.
Huyu Bwana hata sera tu hana. Sera aliyo nayo ni moja tu ambayo ni kushambuliwa. Kila apitapo 95% ya maelezo yake ni kuhusu kushambuliwa kwake.
Kushambuliwa kwake hakuwezi kuwa ni kigezo cha kumpa uongozi.
 
Ccm mwaka Huuu amna Cha maana mlicho Fanya Andaeni Vilago Vywenu mtupishe
20200812_233138.jpeg
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mie nipoteze muda wako kuedit kauli za huyo Chakubanga? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Alipata umaarufu mkubwa sana kwenye Bunge la kampeni kwa kusimamia yale Watanzania tuliyoyataka ndani ya katiba kisha akaamua kujitoa ufahamu. Wahenga walisema ogopa sana technology.,

Mtafanya editing mpaka Basi tu.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mie nipoteze muda wako kuedit kauli za huyo Chakubanga? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Alipata umaarufu mkubwa sana kwenye Bunge la kampeni kwa kusimamia yale Watanzania tuliyoyataka ndani ya katiba kisha akaamua kujitoa ufahamu. Wahenga walisema ogopa sana technology.,
Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.

Good news is wewe mwenyewe inaonesha dhahiri kabisa unamkubali JPM๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Wapi nilipoonyesha namkubali huyo yesu wa Lugola!? ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
Wacha KUKURUPUKA!

Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.

Good news is wewe mwenyewe inaonesha dhahiri kabisa unamkubali JPM๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unataka kusema maendeleo yanayofanyika hapa Tz hayamgusi mwananchi moja kwa moja? Kutukopesha sio sababu ya kutufanya sisi mabwege ndio maana hatutaki mikopo yenye mashariti ya kipuuzi kama kuruhusu ushoga na mimba za utotoni. Ila Lissu anaunga mkono huu upuuzi .

Upumbavu ni moja ya hali zisizotibika!! Ninafahamu utaendelea kukuza hali hiyo na mwisho wa siku utajikuta uko vile vile mwaka nenda rudi! Hivi umeona neno โ€œTUโ€ kwenye post yangu?? Jinsi ulivo ndio mabadiliko tunayotaka - kuondoa fikra kama zako za kujadili jambo ambalo sijalizungumzia!! Misaada yote huwa na masharti - wewe kutoyaona au kuyajua hakufanyi masharti yasiwepo. Nilitegemea upinge kabisa ombaomba yetu badala ya kupinga masharti!!!
 
Back
Top Bottom