Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
๐๐โ๏ธโ๏ธ๐ช๐ชHakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐โ๏ธโ๏ธ๐ช๐ชHakuna
Ni yeeeeeyeeeeeeee
TL anawalaza macho wazi.
kafanya kazi gani huyo boyaHuna akili na mpumbavu wewe. Jibu hoja mtapata kura za hutuma? Au watu watachagua mchapa kazi ma mleta maendeleo? Unaleta habari za kipuuzi n kitoto
Mtafanya editing mpaka Basi tu.
Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.๐๐๐๐ mie nipoteze muda wako kuedit kauli za huyo Chakubanga? ๐ณ๐ณ
Alipata umaarufu mkubwa sana kwenye Bunge la kampeni kwa kusimamia yale Watanzania tuliyoyataka ndani ya katiba kisha akaamua kujitoa ufahamu. Wahenga walisema ogopa sana technology.,
Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.
Good news is wewe mwenyewe inaonesha dhahiri kabisa unamkubali JPM๐๐
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unataka kusema maendeleo yanayofanyika hapa Tz hayamgusi mwananchi moja kwa moja? Kutukopesha sio sababu ya kutufanya sisi mabwege ndio maana hatutaki mikopo yenye mashariti ya kipuuzi kama kuruhusu ushoga na mimba za utotoni. Ila Lissu anaunga mkono huu upuuzi .