Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Uchaguzi sio Ccm vs Ccm wasaliti ft Lisu?
 
Siwezi kumchagua msaliti wa taifa(mst)
Msaliti niyule asietaka watanzania tuishi kwa amani, yule aliemfunga Kabendera, akamsamehe Lugola kwa ubadhirifu wa mali za watanzania kisa kamwita Yesu, msalitu niyule alimpoteza Ben Saanane kisa kahoji U Dr. fake, msaliti niyule aliekula pesa za majanga Kagera, msaliti niyule alihonga nyumba za uma kwa mahawara zake, msaliti niyule alimpeleka Sundi nakumpa uofisa wa madini katika wizara ya madini, msaliti niyule aliekwapua tril 1.5, msaliti niyule asietaka watu wasafi Kama Prof Assad katika ofisi za uma, msaliti niyule alienunua vivuko vibovu baada yakuona wanasema sana akavikabidhi jeshini, msaliti niyule anaewaita watoto wawatu vilaza, huku wake akiwa alifeli form six nahaijulikan alifikaje chuo huyo ndio msaliti wa taifa ambae watanzania hatumtaki katika aridhi yetu.
 
Nani mwenye akili timamu aache kumchagua Rais mzalendo ambae amefanya matokeo chanya ya kimaendeleo kwa sekta muhimu kama afya, elimu na kuimarisha miundo mbinu.
Unaujuwa uzalendo au mzalendo?. Siku utakayo pelekwa kituo cha polisi halafu mdosi au mwenye hela ndio anakushtaki utauona uzalendo. Mzalendo haogopi kipengele cha rais kushtakiwa afanyapo makosa akiwa madarakani.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Tangu paaanzishwe vyama vingi Tanzania mtu wa kwanza kuisumbua CCm kwenye uchaguzi alikuwa Augstine Mrema akafuatiwa kwa mbaali na Lowassa Edward na ndio ulikuwa mwisho,baada ya Lowassa hakuna KIAZI yeyote atakayeweza kusimama na Raisi JPM tukutane Oct muone mtakavyopoteana,Tanzania ya sasa siyo ile miaka saba iliyopita ngojeeni kwanza tujenge Nchi na Mh JPM..
 
Mleta mada najua umetumwa na nyangogo wa burigi kamwambie kuwa anyanyue tunguli zake pale mjengoni akachunge ng'ombe hukooo LISSU THE PRESIDENT kama hutaki na hujisikii canye
 
Mleta mada najua umetumwa na nyangogo wa burigi kamwambie kuwa anyanyue tunguli zake pale mjengoni akachunge ng'ombe hukooo LISSU THE PRESIDENT kama hutaki na hujisikii canye
Bora ukae kimya kuliko kudandia mada fala wewe.
 
Hivi kwa namna ambavyo Tundu Lissu anavyodharaulika kwa watanzania kwa kutokuwa mzalendo na mtu wa kujipendekeza kwa mbeberu mnategemea apigiwe kura za huruma? Kisa alishambuliwa!
Endelea kuweweseka!
 
Back
Top Bottom