Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hakuna Mtanzania atakayewapigia kura za huruma CHADEMA

Hata iwe ni kwa namna yoyote ile, TAML hawezi kupita.
Huyu Bwana hata sera tu hana. Sera aliyo nayo ni moja tu ambayo ni kushambuliwa. Kila apitapo 95% ya maelezo yake ni kuhusu kushambuliwa kwake.
Kushambuliwa kwake hakuwezi kuwa ni kigezo cha kumpa uongozi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie nipoteze muda wako kuedit kauli za huyo Chakubanga? 😳😳

Alipata umaarufu mkubwa sana kwenye Bunge la kampeni kwa kusimamia yale Watanzania tuliyoyataka ndani ya katiba kisha akaamua kujitoa ufahamu. Wahenga walisema ogopa sana technology.,

Mtafanya editing mpaka Basi tu.
 
Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.

Good news is wewe mwenyewe inaonesha dhahiri kabisa unamkubali JPMπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wapi nilipoonyesha namkubali huyo yesu wa Lugola!? 😳😳😳
Wacha KUKURUPUKA!

Ohh! no me sikusema kuwa umepoteza muda wangu kuedit itakuwa umenielewa vibaya.

Good news is wewe mwenyewe inaonesha dhahiri kabisa unamkubali JPMπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 

Upumbavu ni moja ya hali zisizotibika!! Ninafahamu utaendelea kukuza hali hiyo na mwisho wa siku utajikuta uko vile vile mwaka nenda rudi! Hivi umeona neno β€œTU” kwenye post yangu?? Jinsi ulivo ndio mabadiliko tunayotaka - kuondoa fikra kama zako za kujadili jambo ambalo sijalizungumzia!! Misaada yote huwa na masharti - wewe kutoyaona au kuyajua hakufanyi masharti yasiwepo. Nilitegemea upinge kabisa ombaomba yetu badala ya kupinga masharti!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…