Uchaguzi 2020 Watanzania sio wajinga, hawatachagua chama ambacho wafuasi, viongozi na wanachama wake sio wazalendo

Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na hawalitakii mema taifa letu.

Kwa mwananchi mzalendo ambae unalitakia mema taifa lako huwezi kubeza mambo ambayo CCM imelifanyia taifa hili tangu tunapata uhuru mpaka sasa. Serikali ya CCM inaimarisha sekta ya afya kwa kujenga vituo vya afya na hospital, mnasema eti ni maendeleo ya vitu. Kwani hawatakuja kutibiwa watu?

Serikali ya CCM inajenga mradi wa JNHPP ili taifa lipate umeme mwingi na wa uhakika. Mnasema eti ni Mega structures na hazina manufaa kwa watu. Kwani huo umeme nyie wanaChadema hamtautumia? Tena kwa bei rahisi! Mradi wa Sgr mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu. Kwa hiyo hiyo treni hamtaipanda? Hamtasafirishia mizigo yenu?

Kwa ujumla watanzania wameshawajua ninyi ni wapiga dili na chama chenu kipo kimaslahi binafsi. Sio kuwaletea watanzania maendeleo kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Natoa ushauri tu Oktoba msijaribu kugombea nafasi yoyote maana watanzania hawawataki tena.

Siasa sio chuki na uadui.
Uzalendo ni kufaidi keki ya Taifa pekeyunu,uzalendo ni kuwa na sera ambazo hazitabiliki 'uncertanity policies' you can not reach your goals and plan for growth of business with uncertanity policies'
 
Weka ushahidi.
 
Wanajeshi walipo enda kununua korosho, mama lishe na baba lishe walikosa kipato,waliowekeza kwenye usafiri walikosa pesa,wenye vyumba vya kulala wageni walikosa pesa pia 'an entrepreneur and his enviroments affect entrepreneurship'
Hoja haina mashiko. Maana hapa tunajadili uzalendo na watu kama nyie ambao hamuitakii mema Tanzania.
 
Uzalendo ni itikadi ya kuweka maslahi ya taifa lako mbele ili liweze kufanikiwa kwa kila namna. Lakini inatia aibu sana CHADEMA na wanachama wake pamoja na wafuasi wake hawana uzalendo kabisa na hawalitakii mema taifa letu.

Kwa mwananchi mzalendo ambae unalitakia mema taifa lako huwezi kubeza mambo ambayo CCM imelifanyia taifa hili tangu tunapata uhuru mpaka sasa. Serikali ya CCM inaimarisha sekta ya afya kwa kujenga vituo vya afya na hospital, mnasema eti ni maendeleo ya vitu. Kwani hawatakuja kutibiwa watu?

Serikali ya CCM inajenga mradi wa JNHPP ili taifa lipate umeme mwingi na wa uhakika. Mnasema eti ni Mega structures na hazina manufaa kwa watu. Kwani huo umeme nyie wanaChadema hamtautumia? Tena kwa bei rahisi! Mradi wa Sgr mnasema ni maendeleo ya vitu sio watu. Kwa hiyo hiyo treni hamtaipanda? Hamtasafirishia mizigo yenu?

Kwa ujumla watanzania wameshawajua ninyi ni wapiga dili na chama chenu kipo kimaslahi binafsi. Sio kuwaletea watanzania maendeleo kwa maslahi mapana ya taifa letu.

Natoa ushauri tu Oktoba msijaribu kugombea nafasi yoyote maana watanzania hawawataki tena.

Siasa sio chuki na uadui.

Sema ww hautochagua
Usitupangie
 
Mrema huyu huyu aliyeanzisha ofisi ya Naibu Waziri Mkuu kijijini kwake Kiraracha na kuwapa siku 7 watuhumiwa wa ufisadi akutane nao huko?
CCM mna kamusi yenu ya Chama kuhusu uzalendo.
Unamchafua bure hakuwa na mambo ya ufisadi. Nia yako useme alihongwa
 
Back
Top Bottom