Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

Bwashee punguza jaziba, utajiri unaoongelwa hapa ni wa pesa halali, utajiri wa kufisadi na kuuza unga huku ukiharibu nguvukazi ya taifa huo siyo utajiri halali. Hakuna mtu anayechukia watu kutajirika, ila katajirikie ndiko kanaleta ukakasi.
Wewe unajuaje uhalali wa utajiri wa mtu? Nchi kila mtu tajiri ni fisadi au freemasonry. Punguzeni chuki kwa watu waliotajirika
 
Jk hajaleta chuki, hii chuki ya leo haijapandikizwa na JK
Evelyn Salt inaelekea umeanza kufuatilia mambo ya siasa juzi, baada ya lile jukwaa letu pendwa kufutwa 🤣
Unaweza kukumbuka jinsi JK na kundi lake walivyomfitini Salim Ahmed Salim (SAS)?

Kikwete alikuwa na genge la wana mtandao ambao walikuwa tayari kuua mtu ili kikwete aingie madarakani. Sijui kama unalijua hilo!
 
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania?...
Membe atakumbukwa kwa ujasiri wake dhidi ya dhalimu Magufuli.
 
Yaani mtu anasema ni ubaya watu kutajirika? Kwa hiyo furaha yake ni kuona watu wakiwa masikini! Nchi hii wachawi ( roho mbaya) wako wengi sana
Usishangae ni baba yao ibilisi aliyeko kuzimu aliwafundisha chuki akisema anataka matajiri waishi kama mashetani. Na ibilisi kazi yake ni kuangamiza na kuharibu. Usishangae kuona wafuasi wa Ibilisi wakifurahia umaskini kwa watu.
 
Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? ...
Watanzani wengi wameharibiwa akili na JPM kwa kufikiri kuitwa wanyonge ni uzalendo, Sasa Kama hautaki kiongozi anayeweza kumfanya muosha magari kuwa tajiri unataka Nini?
 
Wanaomsifia ni wanasiasa walionufaika nae moja kwa na sio sababu amelifanyia nini taifa. Hiyo ndio tofauti yao na yetu...
Focus ya Taifa alikuwa nayo Nyerere sio huyo unayetaka tuamini alikuwa nayo, unaijua $ 98M wewe?
 
WaTanzani wengi wameharibiwa akili na JPM kwa kufikiri kuitwa wanyonge ni uzalendo, Sasa Kama hautaki kiongozi anayeweza kumfanya muosha magari kuwa tajiri unataka Nini?
Ukawa ilishakufa, inashangaza kuona wewe bado uko hai! Badili jina mkuu, kuwa na jina la marehemu ni nuksi.
 
Evelyn Salt inaelekea umeanza kufuatilia mambo ya siasa juzi, baada ya lile jukwaa letu pendwa kufutwa 🤣
Unaweza kukumbuka jinsi JK na kundi lake walivyomfitini Salim Ahmed Salim (SAS)? Kikwete alikuwa na genge la wana mtandao ambao walikuwa tayari kuua mtu ili kikwete aingie madarakani. Sijui kama unalijua hilo!
Watanzania tunakasumba moja ya kusahau kikwete alikuwa raisi mbovu na maovu mengi hajapata kutokea
 
Back
Top Bottom