ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
W
Narudia tena JK ndio Rais mzuri wa mda wote hapa Tanzania baada ya Nyerere yaani hata kesho akigombea anashinda kweupee hakuna kima wa kumshinda Tanzania hii.
Wewe ndio mjinga na wa hovyo.. Sidhani kama Kuna Rais wa hovyo kumshinda Jiwe Toka uhuru.Acha ujinga mara moja labda kama umeanza kuzijua siasa za Tanzania jana
Kikwete ni raisi mbovu hajapata kutokea, ni mmoja ya maraisi walio haribu nchi hii na kufanya kuwa shamba la bibi
Narudia tena JK ndio Rais mzuri wa mda wote hapa Tanzania baada ya Nyerere yaani hata kesho akigombea anashinda kweupee hakuna kima wa kumshinda Tanzania hii.