Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Kwahiyo anafanya hivyo Bure?
 
Bahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world

Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua

Britanicca
Nna ndoto hiyo inanijia...
 
Fursa gani hizo wewe bibi kigagula wakati kila siku mnatuambia tukajiajiri ajira hakuna.

Hizo ni kwa ajili yenu nyie wezi na mafisadi.

Shetani wahed.
 
Tutanufaika kama Wananchi wa Nyamongo wanavyonufaika na Mgodi wa Barrick na watu wa Geita na Mgodi wa GGM!
Sisi viongozi wetu ni wala rushwa na ndiyo maana hatuwezi kunufaika na rasilimali zetu.
 
Kuna watu wameambiwa bandari kapewa "mwarabu" hawajui kuwa Dpworld inaendeshwa na Wamarekani.....
Ile chuki Kwa waraabu inaweza fanya watu wapishane na gari la fursa...
Tatizo sio nani anawekeza, wala tatizo sio kubinafsisha. Tatizo ni vipengele vilivyomo ndani ya hayo makubaliano.

  • Tunabinafsisha kwa muda gani?
  • Vipi tukiamua kuvunja mkataba, kuna win-win situation?


Hayo mengine ya "muarabu" na "mmarekani", ni janja janja tu za kukwepa kujadili hizo sehemu muhimu!
 
Fursa gani hizo wewe bibi kigagula wakati kila siku mnatuambia tukajiajiri ajira hakuna.

Hizo ni kwa ajili yenu nyie wezi na mafisadi.

Shetani wahed.
Funguwa macho utaziona tu. Unafikiri fursa ni kuajiriwa tu?
 
Hakuna mkataba wa uwekezaji.


Kipengele kipi kinachokupa shida kwenye huu mkataba wa ushirikiano?
 
#Tumeuzwa
 

Attachments

  • Editor_2_20230610181946.jpg
    61.7 KB · Views: 2
Hawa jamaa suala la ajira labda zisizo za moja kwa moja lakini ajira za moja kwa moja zitakuwa ni za Robots and machines
 
Kama kawaida yenu ona sasa unaniambia nifungue macho.

Jichawi hili bibi.
Hata Ronaldinho kaoewa sifa hiyo ya u Gaucho.

Hujakosea, kweli ni mchawi, tena wa viwango vya kimataifa kwenye haya mambo ya biashara za
Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…