Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Kwani tatizo ni waarabu ?
Wangekuwa wazungu ingekuwa hakuna tatizo??
Sasa mbona kampuni yenyewe inaendeshwa na wazungu?

Na imepewa bandari za wazungu pia iendeshe???
Kule kwa wazungu mikataba yao haijakaa kijinga kama huu wa kwetu.
 
Ile Kariakoo ni ya kuipiga nyundo yote hadi soko la Karume hadi fire hadi mnazi mmoja.
Wazawa wenyewe wa kuendeleza nchi ndiyo hawa wakipewa nafasi wanaishia kujenga mabanda kama Kariakoo?
Acha tu waichukue mimi sioni ubaya hata wakikodishwa mikoa kama minne hivi.
Huu upuuzi wa eti wananchi wazawa wakati kila siku nchi inachakaa inabidi ukome.

Kuna jamaa mmoja kama yeye ndiye angekua rais kipindi kile cha Mkapa, naamini hadi leo pale soko la feri lingekua ni la Makuti na Kariakoo ingekua na vibanda vya mbavu za mbwa kwa kisingizio cha waacheni wazawa waishi popote kulingana na uwezo wao.
 
Bahati nzuri Jamii forums inatunza! Mungu akituweka usishangae Mwaka 2030 au kabla ya 2040 tuna kesi na DP world

Vi reply Kama hivi uwa ni vya kutunza!
Anaweza kuja Rais Mwingine akaona kuna risk ndani yake akatengua

Britanicca
Wahusika watakuwa washakufa
 
Ni ajabu Wazee wenye miaka 60+ wana ingia Mkataba wa miaka 100 wakati wanajua kabisa miaka 35 ijayo hawatakwepo kwenye Uso wa Dunia.

Ni wakati wa Vijana kuchukua hatua kwaajili ya kesho yao badala ya kuwategemea hawa Wazee
35 mingi sana hata 20 wengi hawatoboi
 
Kwani tatizo ni waarabu ?
Wangekuwa wazungu ingekuwa hakuna tatizo??
Sasa mbona kampuni yenyewe inaendeshwa na wazungu?

Na imepewa bandari za wazungu pia iendeshe???
Watu hawajatembelea google kuona kuwa ina operate Bandari 6 China
Bandari zaidi ya 6 India
Belgium
UK
Senegal
Msumbiji
 
Hukumsikia Spika?
Huo mkataba hauna miaka 100 wala 50 ni timeless,
Siku vikiumana kila mtu ajikatae kivyake.
Nilivyomsikia ni kuwa ule si mkataba bali ni makubaliano.
Mikataba itafuata ambayo itakuwa na time frame maana kuna mikataba ya uendelezaji, uendeshaji, usafirishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…