Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

Bibi upo eeh
Zenji vipi??
 
Kipengele kiluchonitia simanzi ni kile kinqchpsema uhai wa mkataba ni pale shughuli za bandari zitakapokoma!! Kwenye hilo wewe unasemaje?

Katika kushughulika na mikataba mingi ya multinationals kwa miaka mingi, sijawahi kuona mkataba wa namna hiyo.
Sijakiona.

Kiweke hapa hicho usemacho, nahisi hukuiekewa lugha iliyotumika.
 
Usiseme Waarabu sema ndugu zako katika Dini
Ma shaa Allah, kumbe tatizo lako ni dini yao?

Utaumia sana basi:

Owner of the City Football Group, Sheikh Mansour is one of the Middle East's most powerful businessmen, as well as deputy prime minister in the UAE. Manchester City's rapid rise to the elite of European football began when Abu Dhabi's Sheikh Mansour took over the club in 2008.
 
Wewe ulitaka yafike wapi labda ???

Kama huoni kama yana underperform you're the problem.

Tena si hayo tu hadi Tanroads, TANAPA, TFS etc etc ningewapa wadau waendeshe maana nyie mmeshindwa kabisa. Kwa kuanza tuanze na bandari na airports then reli na Tanesco.

Mambo ya mikataba yanazungumzika ila kuogopa makampuni ya nje ni UJINGA.
 
Tulichelewa wapi??? Hata ATCL, SGR, TANESCO, TPDC, VIWANJA VYA MPITA, ETC TUBINAFSISHE TU
 
Yana underperfom ukilinganisha na nani ?
Kwani hii ni mara ya kwanza ubinafsishwaji unafanyika Tanganyika chini ya kivuli cha kuongeza ufanisi ?
 
Wakati wa porojo za gas ya Mtwara mbwembwe zilikuwa hizi hizi, watu wakaambiwa mtwara kutakuwa na fursa kibao. Tukanunua viwanja huko kwa lengo la kuwekeza. Leo hii muambie hata Ridhiwani akafungue kibanda cha m-pesa kama atakubali. Wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…