Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Na ikiwa yuko salama itabidi afanye tafakari nzito kwa nini inakuwa hivi kwa watu wake ambao yeye uwaita wanyonge.
Afanye TAFAKARI kwa ajili ya akina Zito?Kwani ye hajui nani nyoka na mwema?Mimi nakuambia % kubwa watu wanamuombea mema Magufuli. Hizi kelele unazoziona hata 1/3 ya watanzania haifiki
 
Unaweza ukalinda vyote huwezi Linda ugonjwa,Mungu ajawahi shindwa na Mwanadamu.Bwana asipoulinda mji wakeshao ulinda bure
 
Sasa kama mtu kapatwa na heart atack. Mama samia anahusikaje hapo?
 
Kwani kuna watu walitaka kumdhuru au ni ugonjwa tu wa kawaida?
 
Hakuna Mafumbo humu , sio kila kitu kinaweza kuwekwa wazi Muda huo huo kinapo tokea.Jipe Muda wa kupitia Comment za Watu huku pia elewa Mada inazungumzia nini pita humo humo。
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
nimeamini Rais wetu anapendwa sana na watu wake, Mungu ampe umri mrefu
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
 
Tobaa!!
God forbids
Kila mtu atavuna apandacho, tusilazimishane kutaka mavuno mema kwenye pando la mtu, lets be serious in harvesting time!!!

Mlipanda bange halafu mnataka mvune mahindi. Hilo haliwezani
 
It's payback time broo...tulikuwa na mshua wetu mkali kinona alikuwa anatudunda kinona kosa akifanya m1 ni kisago kwa wote mpaka bi mkubwa nae anachezea....siku alipokata kamba ilikuwa bigparty na si msiba...

Halafu muache uchuro wa kumtakia Rais wetu adanji nyie mafisi. Rais wetu ni jiwe kweli kweli. Itabidi mwezi October ufutwe Tanzania
 
Mungu msaidie rais wetu mpendwa jpm,wabaya wote washindwe kwa neno lako,na mabaya yote wanayomwombea yasimfike
You cant be serious,amekufa kweli?Hongera yake maana anaweza kuwa mtanzania wa kwanza kama si binadamu wa kwanza kuteuliwa kuwa kiongozi wa malaika
 
Kuna baadhi ya watanzania ni wapumbavu wa mwisho
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…