Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Namuombea ashinde, hilo kila moja analiomba. Sasa, ukiacha national prestige kuwa CEO anatoka tanzania, Hivi akiwa mshindi, health services/or other advantages in Tanzania tutapata advantage gani? ie an added advantage? Tunaweza kupata kaupendeleo?Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Faida zingine zaweza kutokana na struggle yake binafsi kama atapenda nchi yake - chukulia mfano JPM ktk wilaya yake mambo yalivyokuwa motoNamuombea ashinde, hilo kila moja analiomba. Sasa, ukiacha national prestige kuwa CEO anatoka tanzania, Hivi akiwa mshindi, health services/or other advantages in Tanzania tutapata advantage gani? ie an added advantage? Tunaweza kupata kaupendeleo?
Unafikiri ujinga uliopo Tanzania na huko duniani pia upo!Faida zingine zaweza kutokana na struggle yake binafsi kama atapenda nchi yake - chukulia mfano JPM ktk wilaya yake mambo yalivyokuwa moto
Mie nashauri tuwatumie Polisi wetu, ma-DED na TISS ili awashinde wapinzani wake, kwa kuwa mbinu hiyo imeshaonyesha mafanikio makubwa sana nchiniWatanzania,
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Noted!Mie nashauri tuwatumie Polisi wetu, ma-DED na TISS ili awashinde wapinzani wake, kwa kuwa mbinu hiyo imeshaonyesha mafanikio makubwa sana nchini
nimekupataFaida zingine zaweza kutokana na struggle yake binafsi kama atapenda nchi yake - chukulia mfano JPM ktk wilaya yake mambo yalivyokuwa moto
Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Huyo haipiti kamwe kwa sababu ni mara ya kwanza mtu mwenye taaluma kupendekezwa na kunadiwa na wanasiasa tofauti na ilivyokuwa inafinyika huko nyuma. He will politicize the health sector for personal prestige, which may plunge professionalism into polarity interests.Watanzania,