Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Damu ya NDUGULILE inatulilia.Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Wa kipumbavu we jamaa unaumia janabi kugombea kisa muislamu? Masikini weeeHivi mbona ndungulule alipambana kivyake na wala nchi haikujulishwa mpaka aliposhinda ndio tukajua? Hivi nyie waislamu bila kusaidiwa na kulialia huwa hamuwezi? Yeye si daktari aende mwenyewe huko asituchoshe hapa bhana
Ina watu wapumbavu hii aisee! Kitu ambacho mkoloni amrfanikiwa ni kwenye udini utakuta wewe ni kijana kabisa mpumbavu wewebinafsi ningempigia debe kama angekuwa ni Christian na ana follow Jesus Christ lkn hindu, budha, muslims au yoyote asiye mfwata Christ ni big NO …
Nendeni mkamsaidie kuiba kula na teethWatanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
😹😹😹Pelekeni wasanii,wapelekeni wakina doto magari,mwijaku,bb level wakapush huko
Ova
Tumlishe anenepeWatanzania,
Watanzania tufanye nini ili kusaidia ushindi wa Prof. Janabi?
Yaani wewe na wazazi wako mushindwe kutafuta Pesa,uje umlaumu Janabi?.....Ameshindwa kuwasaidia wagonjwa wanavyoteseka na mabili ya ajabu kule muhimbili ataweza Nini kingine.
Vyeo vya kimataifa si vya Urithi kama vya ccmWatanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
The support of politicians will be his undoing!! Especially so because the Tanzanian political class is known to be very corrupt.Huyo haipiti kamwe kwa sababu ni mara ya kwanza mtu mwenye taaluma kupendekezwa na kunadiwa na wanasiasa tofauti na ilivyokuwa inafinyika huko nyuma. He will politicize the health sector for personal prestige, which may plunge professionalism into polarity interests.
Pelekeni wale vijana wa ccm wanaopora wapinzani fomu wakati wa urejeshaji.Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Ndugulile akiwekeza mda sanaHivi mbona ndungulule alipambana kivyake na wala nchi haikujulishwa mpaka aliposhinda ndio tukajua? Hivi nyie waislamu bila kusaidiwa na kulialia huwa hamuwezi? Yeye si daktari aende mwenyewe huko asituchoshe hapa bhana
Hii nchi
Ina watu wapumbavu hii aisee! Kitu ambacho mkoloni amrfanikiwa ni kwenye udini utakuta wewe ni kijana kabisa mpumbavu wewe
Atajua mwenyewe.Watanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Huyu nayeye awekeze anataka kupitia mgongo wa mama na dini haipo hiyoNdugulile akiwekeza mda sana
MaombiWatanzania,
Salaam!
Ndugu yetu prof Mohammed Janabi amekuwa mstari wa mbele kujitoa kwa ajili ya afya na maisha yetu. Huu ni upendo na uzalendo wa hali ya juu.
# Amekuwa Mwl mzuri;
# Amekuwa kiongozi mwema;
# Amekuwa mwakilishi mwema wa kundi la utabibu.
Kutokana na mchango wake kwetu tuna sababu ya kumsapoti kwa hali na mali ili afikie ndoto zake za uongozi. Najua kuwa kupata kwake sisi watanzania tutaguswa kwa njia nyingi sana.
Sasa nauliza kipi watanzania tunapaswa kufanya ili kumsapoti huyu mzalendo wetu?
Ukitaka agawe hela kwa wananchi?Huo ushindi unabaki kuwa wao binafsi na familia zao only
Whose is there abroad akakusaidia kitu?Ukitaka agawe hela kwa wananchi?