Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?



Tuchukue hatua zipi??
 
Tuchukue hatua zipi??
Za kusababisha tusilipe Tozo Au za kulipa Tozo. Maombi kwa Mungu hapa hayahusiki. Ni Tulipe au Tupaze Sauti na Vitendo ili kuishinkiza Serikali Tusilipe hizi Tozo za ziada.
 
Mi nadhani tukuombee wewe Ufe kabisa. Nyinyi ndio mnaofanya wote tuonekane Wapumbavu mbele za Mungu. Mkiisha watu wenye mitazamo kama nyinyi. Mambo yatarekebika.
Usinipangie namna ya kupambana na adui yangu kama umechagua kupambana Kwa kutumia mawe na adui aliyekushikia bunduki ni juu yako na ujasiri wako na utahira wako.
 
Inasikitisha sana
Hali mbaya ya kiuchumi serikali haina options zenye akili , wako short sighted kimipango na top hana vision yoyote Kwa jambo lolote Bora liende. Hali ngumu sana
 
Leo hii ndo mnakumbuka hayo??Si mlifurahia Sana kuhusu mama kuwa top
 
Mungu sio nyie Chadomo au sukuma gang wa kusikiliza upuuzi wenu..

Omba basi tuone nani atapata kichapo Kati ya anaekusanya Kodi ya maendeleo na wewe unaeleta Uchawi.
 
Kuna mambo Mungu ana deal nayo, na mengine alituachia tumalizane nayo wenyewe.
 
Acha mabank ya ongeze gawio.

Kati kakipindi ambacho biashara zinadorora, marejesho kwa wakopaji yanasuasua , amana Nazo haziuziki, Huku gawio linasubiriwa, mnatehemea kifanyike Nini?
 
Huku vijijini watu wanaendelea kuona namna huduma za kijamii zilivyo na zinavyoendelea kuboreshwa kila siku, wanaendelea kumshukuru mh Rais namna anavyowajibika kutimiza majukumu yake yakugusa maisha yao, wanaendelea kufurahi kwa namna kero zao zinavyofanyiwa kazi na kutatuliwa kwa wakati

Wakulima kwa Sasa huku Ni kicheko na furaha baada ya mh Rais mama Samia suluhu Hassani kutoa Ruzuku, lakini pia wanafuraha kuona wakiuza kwa Bei nzuri mazao yao

Wewe unataka upige magoti halafu Nani asimame kikijengwa nchi yako, embu amka uungane na mamilioni ya watanzania walio bega kwa bega na mh Rais katika kuijenga Tanzania mpya
 
Daa Kuna jamaa nilikuwa simuwezi primary tukachonganishwa nikapata na mdhamini wa pambano akanipa bublish za rangi mbili nitafune Kwanza tukapigana nikashinda sikuamini

Uthubutu nikujaribu
 
Daa Kuna jamaa nilikuwa simuwezi primary tukachonganishwa nikapata na mdhamini wa pambano akanipa bublish za rangi mbili nitafune Kwanza tukapigana nikashinda sikuamini

Uthubutu nikujaribu
Kwa udhamini wa peremende πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulimkalisha tembo. Ulijiskiaje toka siku hio? Alikusumbua tena?
 
Mwigulu kakosa ubunifu zaidi ya kuibia wananchi
IVI nyie vilaza mnajifanya mnaakili sana ivi kweli huyu Dr mwigulu ananguvu kiasi gani kufanya yote aya mbayo mnamtwika ivi hadi sasa hamjui mamlaka ipi inaidhinisha aya matozo badala kuilaumu serikali nyie kwa uvivu wenu mnamsema waziri kama mtu binafsi

Huu ni upungufu wa akili kabisa
 
Tulia wewe konda wake kwani yeye ni Waziri wa nini,nani anaeulizwa kuhusu pesa,hana ubunifu wa kupata pesa nje ya kodi,tozo na kukopa.
Mbona mkoloni hakutegemea kodi kuendesha nchi na alituletea maendeleo makubwa Sana nchini.
 
Extrovert kumbuka watu wakiomba na Mungu akajibu, basi hurekebisha kila kitu. Mi mpaka sasa naamini kwa πŸ’― ameshajibu ni suala la kuanza kuona vitu vinatokea. Haiwezekani nchi imejaliwa rasilimali kibao halafu unawaambia eti watanzania wahamie Burundi, eti yeye ni PhD wa uchumi, yaani ni aibu sana. Naongezea, Rais Samia kajitahidi kuiunganisha nchi na mataifa tajiri, tulitegemea wizara ya Fedha na Mipango ibuni vyanzo vya mapato toka kwenye rasilimali zetu badala ya kurudi kuwaongezea gharama za maisha watanzania ambao wanaonekana wapo Tanzania kwa bahati mbaya yaani wanawafukuza waende Burundi.
 
Mimi ni daktari wa uchumi, hampaswi kunitilia shaka, tozo ziko kisheria haziwezi kuondolewa asiyetaka anaweza kwenda Burundi ~ Lameki Tozo King
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…