Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Ni kama kipindi fulani Kichere akajisifu yeye ni CPA akiwa kamishina TRA. Ila Mwigulu nadhani ana matatizo makubwa sana.Mimi ni daktari wa uchumi, hampaswi kunitilia shaka, tozo ziko kisheria haziwezi kuondolewa asiyetaka anaweza kwenda Burundi ~ Lameki Tozo King