Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?

Mimi ni daktari wa uchumi, hampaswi kunitilia shaka, tozo ziko kisheria haziwezi kuondolewa asiyetaka anaweza kwenda Burundi ~ Lameki Tozo King
Ni kama kipindi fulani Kichere akajisifu yeye ni CPA akiwa kamishina TRA. Ila Mwigulu nadhani ana matatizo makubwa sana.
 
Watanzania watazoea kama kawaida yao.
 
Ni kama kipindi fulani Kichere akajisifu yeye ni CPA akiwa kamishina TRA. Ila Mwigulu nadhani ana matatizo makubwa sana.
Mwigulu - Egocentric
Assad - Egocentric
Marope - Fool in suit
Nepi - Fool in disguise
 
Tatizo la kwanza huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
 
Huko Dini hizi zilipotoka Israel watu huwa wanaandamana na hata huko arabuni watu huwa wanaandamana.


Ila nyie mlioletewa hizi Dini mnàfanyiwa Uvunjifu WA Haki zenu mnamtaka mungu awapiganie[emoji1][emoji1][emoji1]


Watanzania ni maiti zinazotembea

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wenu sindio munaongoza kufungua nyuzi za michezo, mara naipenda simba mpak kufa, mara leta mzungu mara mayele kafanya hivi,
Hoja za msingi mkiziacha, Tanzania inapidi tuamke kupinga ukandamizaji na unyanyasaji ilihari mali asili/ rasilimali ni nyingi mno kiasi kwamba kila mtanzania angeweza kulipwa na serikali ukweli nawabia Hii nchi ni tajiri sana zaidi ya nchi zote hapa Africa mashariki na kati
 
Mondi akifanya press anasindikizwa kutokea kwake mpaka hotelier
Huku wajuba wako kwa miguuu

Ova
 
Sawa....omba

Lakini muanze kuchukua hatua

Anzeni kudai huduma zinazotolewa na

Serikali mnapoziona mbovu,na muwe mna hoji msikubali kupelekwapelekwa kama mazoba

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…