SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Wawekezaji ni Wanyonyaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikua na philosophy gani?Mkuu, Hitler aliwawinda sana wakosoaji, na kuwaua! Sasa hatutaacha kumlinganisha Magufuli na Hitler kwa sababu Magufuli hakuanzisha vita ya dunia. Ndio maana nimesema kwamba ulinganifu wa Magufuli na Hitler ni katika philosophy zao, mentality, sio katika matukio kama kuanzisha vita ya dunia.
Au kuondoa aliyotuachia!!!Ili tumsahau itabidi tumpate aliye bora zaidi yake...!
Mkuu kwani hilter hakumbukwi mpaka Leo?Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli alikuwa mchapa kazi kweli kweli, mwenye kupenda nchi yake na raia wa Tanzania, mzalendo namba moja.
Lakini hilo linakukumbusha nini?
Linatukumbusha kiongozi aliewahi kuwa na hulka ya Magufuli pale Germany, Adolf Hitler. Hitler alikuwa mzalendo kweli kweli. Alisimamia Germany na kuifanya Germany kuwa taifa lenye uchumi wenye nguvu kuliko mataifa yote. Alipenda uzalendo, alichukia ufisadi na usaliti dhidi ya nchi yake. Hitler alikuwa muasisi wa gari za VW, Volks Wagen (People's Car) ili kila raia wa Germany aweze kumudu kuwa na gari. Hakuna kiongozi katika Germany anaeweza kusemwa alileta maendeleo kwa nchi yake kama alivyofanya Hitler, mzalendo namba moja wa nchi yake.
Lakini sasa, nani leo unamsikia akimsifia Hitler kwa makubwa aliyoifanyia Germany? Hakuna, kwa sababu hakuna mtu aliyesahau machungu yaliyosababishwa na Hitler.
Hakuna mtu hapa Tanzania asiyejua machungu yaliyoletwa na Magufuli katika azma yake ya kuiendeleza Tanzania, machungu ambayo hayana utetezi hata uyaangalie kwa mtazamo upi. Hayana justification.
Hata hivyo, kwa tulio hai, kuwachukia Hitler au Magufuli, ambao tayari wamekufa, ni dalili kwamba tuna matatizo ya afya ya akili, tunahitaji psychiatric help. Kuwasifia pia ni tatizo, kwa sababu tunaumiza wale walioumizwa nao, ambao bado wapo hai pamoja nasi. Tutapanda gari za VW za Hitler, tutapita kwenye flyover za Magufuli, lakini hatutaimba sifa zao.
Kama Germany ilivyoamua kumsahau Hitler pamoja na mazuri aliyoifanyia nchi yake, Tanzania tunapaswa kumsahau Magufuli pamoja na mazuri aliyoifanyia nchi yetu.
Tuangalie mbele sasa. Tusahau yaliyopita, tuachane na kulinganisha uongozi wa sasa na uliopita. Tuvunje magenge. Tuanze upya.
The world and your country need YOU now, not Hitler, not Magufuli.
Nitaleta maendeleo kwa Tanzania kwa njia yeyote ile, the end justifies the means, hata kama inabidi niue baadhi ya Watanzania ili kuiletea Tanzania mafanikio. Atakaetofautiana nami hayuko nasi. Na mimi ndio najua nchi yangu inahitaji nini na nani ili tuendelee. Na hata nikichukua hela za serikali, ni kwa nia nzuri kwa sababu mimi sio fisadi na sikusudii kuzitumia kifisadi. Na lazima kila mtu atii nitachosema. Usipotii wewe ni msaliti. Na wazungu wote ni maadui zetu. Matajiri wote ni mafisadi.Magufuli alikua na philosophy gani?
Magufuli alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyejificha kwenye kichaka Cha uzalendo. Sehemu kubwa alitumia madaraka yake kukomoa wasiomsujudia. Alifanikiwa kuteka kundi kubwa la masikini waliokuwa wanapata faraja kwa kuona akiwakomoa matajari. Ogopa mzalendo anayeshurutusha kuonekana mzalendo.Nakubaliana na wewe 100% kabisa. Na swali sasa ni kama Magufuli alikuwa mzalendo in the real meaning of uzalendo, au alikuwa a misconceived mzalendo ambae ali-justify yale yasiyofaa kwa kutumia excuse ya uzalendo
Mpaka hapo ulivyoandika, umewehukaNi mwe.hu tu anayemkumbuka huyo gaid
hayo ni maoni yako.Nitaleta maendeleo kwa Tanzania kwa njia yeyote ile, the end justifies the means, hata kama inabidi niue baadhi ya Watanzania ili kuiletea Tanzania mafanikio. Atakaetofautiana nami hayuko nasi. Na mimi ndio najua nchi yangu inahitaji nini na nani ili tuendelee. Na hata nikichukua hela za serikali, ni kwa nia nzuri kwa sababu mimi sio fisadi na sikusudii kuzitumia kifisadi. Na lazima kila mtu atii nitachosema. Usipotii wewe ni msaliti. Na wazungu wote ni maadui zetu. Matajiri wote ni mafisadi.
That was his philosophy.
Bado ungali binti/mvulana mdogo huwezi nielewa? Nenda kabet/kasikilize umbea instaMpaka hapo ulivyoandika, umewehuka
Yaami wewe ndie mwehu kabisa.
Unamkumbuka eh?
Usiwe mtumwa wa historia Kikwete aliongea mfano baba yako marehemu kama alikuwa hakujali aligoma hata kukusomesha wakati pesa alikuwa nazo mfano utamlaumu hadi lini .Pambana na hali yako wewe mtu mzima sasa achana na marehemu baba yako apambane na yeye na hali yake huko alikoMagufuli alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyejificha kwenye kichaka Cha uzalendo. Sehemu kubwa alitumia madaraka yake kukomoa wasiomsujudia. Alifanikiwa kuteka kundi kubwa la masikini waliokuwa wanapata faraja kwa kuona akiwakomoa matajari. Ogopa mzalendo anayeshurutusha kuonekana mzalendo.
Okay, umeniuliza swali kuhusu maoni yangu juu ya philosophy ya Magufuli halafu unaniambia hayo ni maoni yangu. Sasa ulitaka nikupe maoni ya nani? Kwani philosophy ya Hitler unafikiri ni Hitler aliitaja?hayo ni maoni yako.
Hatahivyo haiondoi ukweli kwamba Wazungu ndio wachochezi wa Rushwa na Ufisadi Duniani.
Wawekezaji ni Wanyonyaji
Una kila dalili za mtu ambae hajasoma. Katika context, naweza kumlinganisha Messi na mtoto mcheza cha ndimu mtaani kwetu, lakini wewe hutaelewa hiloYour stupidity mleta mada is beyond comprehension.
Yaani Una mfananisha Magufuli na Hitler hivi una uelewa hata wa iota wa hizo Jews concentration camps ambapo kuna ushuhuda wa maandishi ya wasalia na vizazivyao.
Unamjua hata Henrich Himmler, una ujinga wa kiasi gani kufananisha shida walizopitia Jews through NAZi watu wamefungiwa na kunyimwa chakula kwa miezi na kuuliwa kama vile sisimizi na maiti kutupwq kwenye matanuru ya moto hadi kujaa mafuta ya binadamu.
Una akili timamu kweli kufananisha ukatili wa NAZI na nchi nyingine yoyote in the 20/21 century.
Unaweza kutaka kwa ushahidi hata mmoja alieuliwa kwa baraka za Magufuli; how stupid are you.
Human being don't understand logic, reasons, mouth narration but how you touch them instinctively and our own intuition make us to understand what are you doing to us.Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli alikuwa mchapa kazi kweli kweli, mwenye kupenda nchi yake na raia wa Tanzania, mzalendo namba moja.