Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mbona huyo jamaa anasemekana alikuwa ni mwana ccm?
Asante sana kiongozi kwa kuwa mkweeeeriiiiiii.Kuwa mwanaccm hakuondoi udhaifu wa mtu gaidi ni gaidi
Anza wewe kwa kutoa taarifa za uhalifu unaofanywa na jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola.Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.
Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.
Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.
Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.
Tulinde nchi yetu kwa kupinga uhalifu.
Kunywa konyagi ni uhalifu?!Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.
Nenda mwenyewe katoe hizo taarifa. Polisi wamekuwa waonevu sana, na dawa yao tuta deal nao hukuhuku mitaani kama watatuletea udwanzi. Sisi tunawachora tu, chuki na maudhi wanaleta wao, sasa tukaripot niniKutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.
Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.
Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.
Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.
Tulinde nchi yetu kwa kupinga uhalifu.
Huyo ni mlokole hivyo kwake kunywa Konyagi ni uhalifu.Kunywa konyagi ni uhalifu?!