Watanzania tuipende nchi yetu, tupinge uhalifu kwa kila namna

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.

Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.

Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.

Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.

Tulinde nchi yetu kwa kupinga uhalifu.
 
Ni Jambo Jema mtoa mada, tuwatake polisi wetu kutumia weledi zaidi, mfano la ugaidi na mazingira kukamatwa kiongozi upinzani, linajenga chuki, moyo wa uhasama na visasi. Ugaidi sio wa mzaha mzaha.RIP Hamza na Watanzania wenzetu.
 
Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.

Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.

Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.

Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.

Tulinde nchi yetu kwa kupinga uhalifu.
Anza wewe kwa kutoa taarifa za uhalifu unaofanywa na jeshi la polisi na vyombo vingine vya dola.
 
Police wenyewe ni wahalifu,alafu eti utoe taharifa ya wahalifu kwa wahalifu.
 
Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania.

Kulipenda taifa letu kwa moyo wote.

Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi.

Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya makusanyiko yaliyozuiwa.

Tulinde nchi yetu kwa kupinga uhalifu.
Nenda mwenyewe katoe hizo taarifa. Polisi wamekuwa waonevu sana, na dawa yao tuta deal nao hukuhuku mitaani kama watatuletea udwanzi. Sisi tunawachora tu, chuki na maudhi wanaleta wao, sasa tukaripot nini
 
Back
Top Bottom