Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

Tanzania bana, watu walimuuzia Mhindi TRL na hata senti tano hana kumbe muuza skrepa..

In short watu wanaenda maofisini kusaini makaratasi, hakuna mwenye kufuatilia yaliyoandikwa kwenye hayo makaratasi kama yana uhalali au yanafanyiwa kazi...

ZIARA ZA MAKONDA NI USHAHIDI TOSHA KUWA HIZI OFISI ZINAKALIWA KIMAZOEA...
 
Taifa halina watu wengi walio serious na bahati mbaya hao wachache walio serious hawako kwenye mifumo na setup ya mifumo inawakataa hao walio serious.

Mifumo imejaa wafanya mizaha kila kona ambao hawana lakupoteza zaidi ya kuendekeza na kuendeleza mizaha.

Huwezi ukawa mfanya mizaha halafu ukawa na uwezo wa kujitegemea na nakujenga Taifa lenye miguvu na mfano duniani.

Sasa unampa eti yule dogo UCEO wa TTCL unategemea maajabu na ushindani kwa Vodacom iliyojengwa na mizizi imara kupitia series za competent CEO's nk.
Eti unampa Waziri wa fedha Yule kijana wa 1st class degree ya UDSM na div ya Ilboro ilihali hajawahi kuwa na exposure yeyote ndani na nje yakuendesha giant institution yeyote kwenye level ya CEO au CFO nk na akaleta positive impact kiasi cha hiyo taasisi au Kampuni kushine.
Mizaha Mizaha kila mahala.
 
Futa kabisa wazo hili halina mantiki to me I know we are capable of doing anything we wish but viongozi tu ndio wanaharibu
 
Kati ya maeneo tunayohitaji msaada ni kwenye sekta ya habari, kuanzia magazeti, radio Hadi tv wimbo ni mmoja kusifia na kutukuza rais. Tunahitaji waandishi wa kigeni wanaojali taaruma zao kwanza kuliko Hawa wa vibahasha.
 
Back
Top Bottom