Tanzania bana, watu walimuuzia Mhindi TRL na hata senti tano hana kumbe muuza skrepa..
In short watu wanaenda maofisini kusaini makaratasi, hakuna mwenye kufuatilia yaliyoandikwa kwenye hayo makaratasi kama yana uhalali au yanafanyiwa kazi...
ZIARA ZA MAKONDA NI USHAHIDI TOSHA KUWA HIZI OFISI ZINAKALIWA KIMAZOEA...